Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

E="Nanga wa demo, post: 18359600, member: 392201"]sawa sawa ww si ndio msemaji wao[/QUOTE]
Nenda basi si ipo.?
 
naskia paka mwakani mwezi wa 2 na process zitaanza upya
Unachekesha sana process zianze upya kwa serikali ya Magu ya kubana matumizi hata hao wakuu wa JKT watakuwa wanajipenda kweli? Nilichockia ni kua JKT inatakiwa kujitegemea sio kutegemea bajeti kutoka serikalini sa hv kuna mambo wanayalekebisha ila mwezi wa pili Wataingia ila wajiandae mana watapigishwa mzgo wa maana ila kuzalisha
 
mkuu inamaana jeshi litajitegemea mana jkt ipo chini ya jwtz..ukipata nafasi muulize vizuri au labda umechanganya na sumajkt mkuu
 
Mchana hauishi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
sa mi sina hata ua kikaa huendaa ikawa ivio but wana sema vigezo kama umri wengine unakua unezidi, magonjwa, vifo n. k
 
Back
Top Bottom