Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,938
Mkuu Wa JKT Very Soon Anasepa Na Kijiji
Nilikaa July - December, japo habaBaba, madogo wamekaaa uzalendo muda mrefu sana. Na hiiii sio mara ya kwanza watu kupewa MT namba before kuapa, kuna intake ya zaman pia nao jambo kma hili lilitokea.
Pia sio poaa kukaaa muda mrefu uzalendo. Acha madogo wapunguze stress
Mta toka tu guys, kila kitu kina wakati wake la msingi. Afya na morale isipotee.Nilikaa July - December, japo haba
Never give up
Hii ID yako..... Mmhhhh hv upo humu kumbe???Mta toka tu guys, kila kitu kina wakati wake la msingi. Afya na morale isipotee.
kwenda wapi mkuuMkuu Wa JKT Very Soon Anasepa Na Kijiji
Unanifahamu??Hii ID yako..... Mmhhhh hv upo humu kumbe???
Nini Kilichokuwa Kikisubiriwa?!!!Kilichokuwa kinasubiliwa kimeshatimia. Sasa kipyenga muda wowote... Kaa tayari afande weka soldier box attention.
Mguu upande, mguu sawa.
Utaratibu mpya.Nini Kilichokuwa Kikisubiriwa?!!!
ambao ni Upi?!Utaratibu mpya.
Hizi news zimevuma sanaa hapa town.. Mana kila mdau anaefatilia anasema mda wowote kuanzia now eti mambo teali yameshakaa sawa!! Na iwe kweli basiKilichokuwa kinasubiliwa kimeshatimia. Sasa kipyenga muda wowote... Kaa tayari afande weka soldier box attention.
Mguu upande, mguu sawa.
Ngoma imewaka 1 December babaHizi news zimevuma sanaa hapa town.. Mana kila mdau anaefatilia anasema mda wowote kuanzia now eti mambo teali yameshakaa sawa!! Na iwe kweli basi
Ngoma imeiva Waziri Mwinyi Katangaza tuna report vikosini tarehe moja December
mwaka gani mkuu au 2020Ngoma imeiva Waziri Mwinyi Katangaza tuna report vikosini tarehe moja December
Mwaka huu Kaka, fuatilia hio link niliyoweka hapo juu, taarifa imetoka jioni hiimwaka gani mkuu au 2020
Broo Kama hutaki sikulazimishi, ila kama ni mlengwa fahamu kuwa Moja December uwe kikosini!!!Hyo video mbana haiendani na audio ????