Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Dadeeki chezea intro wewee waache tuu watokwe na povu la kukimbilia!!!!uzuri mmoja kule hakunaga fenc wala uzio kambi iko aazi na njia za kutokea ni nyingi mi naamini vizana wa sa hivi baabdi ni walaani sana watakimbia wengi[emoji86] [emoji86]
Ukishajiaandaa psychologically yote utayaona kawaida tu
 
1478002432888.jpg
 
ila inakatisha tamaa na imewavunja moyo vijana kwa kiasi kikubwa.
wengi wa walio fanyiwa usaili na kutakiwa kuripoti mwezi wa saba,mpaka sasa watakuwa wamesha kosa sifa hasa upande wa afya.

kwa dalili hizi, jkt kujitolea intake 2016 tusahau.
 
hvi wanaoenda kujitolea jesh wanamaana gan
Soma Uzi wako hapo(uliandika wewe)[emoji116] [emoji116] afu utuambie kwanini ulijitolea (volunteer)mwaka mzima..... Then tafakari upya afu post tena

Habari ya kazi wakuu, mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 22 nipo Makambako - Njombe kwa sasa, natafuta kazi katika Construction Company au Consulting firm, uzoefu wangu ni mwaka mmoja wa volunteering katika taasisi mbalimbali pamoja na field studies,pia nilibahatika kuajiriwa serikalini mwaka huu lakini zoezi la uhakiki watumishi hewa limenifanya nianze kutafta kazi upya kwani serikali haieleweki itamaliza lini huo mchakato hasa, naomba kama kuna yeyote ataeweza kunisaidia anijulishe kupitia PM kwanza ili niweze kuwasiliana nae vizuri ikiwa ni pamoja kumtumia CV na copy ya vyeti. Ahsante.

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
hahahahahahah..........
 
Umemkata na mdomo kwakweli
 
kwa anaefaham ukweli kuhusu taarifa inayodai kuwa kama mtu alipita jkt mujibu wa sheria miaka ya nyuma.sahv akitaka kwenda kwa kujitolea hairuhusuwi?na kama akienda bas lazma arudishwe?zipo tetesi kuwa kuna watu wa aina hiyo wamerudishwa.nahitaji uhakika.tafadhal kwa anaejua anijuze
 
"Nimeongea na Waziri. Wizara inatarajia kuanza kuchukua vijana wa kujitolea kuanzia mwakani baada ya maandalizi kukamilika na fedha kwa zoezi hili kupatikana"-Jibu kutoka kwa Mbunge wa Jimbo langu niliemuomba amuulize mheshimiwa Waziri wa Ulinzi na Kujenga Taifa kuhusiana na Mchakato ulipofikia. Nawasilisha.
 
Safi sana mzalendo.
 
labda
 
Nilikua nasikiliza bunge badala wabunge kuuliza maswali ya msingi kama la hawa vijana wa jkt waliotelekezwa mtaani watachukuliwa lini? Eti jamaa anamtaka waziri wa ulinzi akadai fidia kwa wale mashujaa waliopigana vita vya majimaji.....hopeless kabisa
 
Soma Uzi wako hapo(uliandika wewe)[emoji116] [emoji116] afu utuambie kwanini ulijitolea (volunteer)mwaka mzima..... Then tafakari upya afu post tena

Habari ya kazi wakuu, mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 22 nipo Makambako - Njombe kwa sasa, natafuta kazi katika Construction Company au Consulting firm, uzoefu wangu ni mwaka mmoja wa volunteering katika taasisi mbalimbali pamoja na field studies,pia nilibahatika kuajiriwa serikalini mwaka huu lakini zoezi la uhakiki watumishi hewa limenifanya nianze kutafta kazi upya kwani serikali haieleweki itamaliza lini huo mchakato hasa, naomba kama kuna yeyote ataeweza kunisaidia anijulishe kupitia PM kwanza ili niweze kuwasiliana nae vizuri ikiwa ni pamoja kumtumia CV na copy ya vyeti. Ahsante.

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Mkuu namwombea taulo hajielewi[emoji86] [emoji86]
 
Back
Top Bottom