Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Jkt tunawashukuru sana kwa kuendelea kutufunza uvumilivu. vijana tusiwe na wasiwasi ndani ya hii depo hom nafasi za ptz, magereza, tanapa, jw zikitoka ztakuja humhum home, AU MMEMISI KULIMA
 
Moto wa Maji na genge lako mliosema JKT ni mwezi huu mpo wapi? Tuacheni ronja zisizo na maana.

Kila mmoja anashuhudia kabisa namna serikali inavyoenda, na mara nyingi inasemekana pesa hamna. Sekta nyingi hazijaajiri, na sisi tutulie tu form zetu.

ILA KAMA KWELI IKIWA MWAKANI TUJIANDAE NA USAILI MPYA.

J4 nilipata Ronja kutoka kwa afande ila naogopa kuiweka hapa. Tuwe wapole kwa yote yatakayotokea.
 
Kaa nayo tu ronja yako... Hatutaki ronja zaidi...
 
Back
Top Bottom