Recent content by kemondo kwetu

  1. kemondo kwetu

    Hivi kilimo kitanitoa au nitaangamiza pesa?

    Panda mahindi ya njano na viazi lishe hv vinalipa sana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. kemondo kwetu

    Watoto wa form one kwenye somo la kemia huu mtambo unaitwaje?

    Watoto wa form one walizuiliwa kumiliki simu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. kemondo kwetu

    WhatsApp inasumbua

    Kwan tecno sio cm Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kemondo kwetu

    Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

    Kweli kbs Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kemondo kwetu

    Antu Mandoza mtangazaji wa tatu mzuka ni moja ya Wasichana wazuri sana

    Chama cha Mapinduzi kwa tiketi ya vijana mkoa kagera alipata Halima Bulembo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kemondo kwetu

    Antu Mandoza mtangazaji wa tatu mzuka ni moja ya Wasichana wazuri sana

    Mgombea ubunge kura hazikutosha huyo Attu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. kemondo kwetu

    Kwanini kuna ongezeko kubwa sana la single mothers?

    Kwa sababu wanaume walio wengi hawajui wajibu wao,kuna wanaume na wavulana ila wengi ni wavulana na hii haijalishi umri wako muhusika
  8. kemondo kwetu

    Nina wanaume watatu nilio nao kwenye mahusiano. Nimchague yupi?

    Unaeza olewa na huyo mbinafsi anayejipenda yy hatimae mwisho wa siku ukaishia kuwa single mom na hujanufaika nae kwa lolote Kwangu mm nngezaa na mmoja wapo kati ya hao waume,make ndo wanakuweka mjini na nikaendelea na maisha yangu Mtu mbinafsi anaboa sana na hapo hajakuoa akikuoa je?
  9. kemondo kwetu

    Mimi ni mwanaCcm,lakini kwa hili tuheshimiane.

    ungekuwa mwanaccm ungejua maana yake ila kwa kuwa chama chako sawa na picha uliyoiweka hapo kwenye utambulisho wako ndo maana hujui kwa nn wanafanya hvo
  10. kemondo kwetu

    Mimi ni mwanaCcm,lakini kwa hili tuheshimiane.

    Ww sio mwanaccm kwanza,pili ungekuwa mwanaccm ucngeona kama ni hiyo ni shida make ni kanuni na taratibu za ccm kufanya hvo,siasa ni mchezo wa namba sasa usipojua una wanachama wangapi waliojiandikisha utajua unaenda kuwashinda vp wenzio?????
  11. kemondo kwetu

    IGP Sirro: Gari lililomteka Mo Dewji ni la nchi jirani. Kwa sasa hatuhitaji msaada wa vyombo vya uchunguzi kutoka nje. Tuviamini vyombo vyetu

    Majambazi wamerudi kwa kasi kigoma na msitu wa mlima wa simba biharamulo,kazi inahitajika zaid
  12. kemondo kwetu

    BUKOBA: Mvua kubwa iliyoambatana na upepo yaezua paa Shule ya Sekondari Bukoba, shule yafungwa kwa muda

    Ihungo ni shule ya serikali,iliyokuwa inamilikiwa na jumuiya ya wazazi ya ccm ni omumwani
  13. kemondo kwetu

    Star times waziachia chanel zote za ndani

    Mm mbona kuna TBC 1 tu had sasa
Back
Top Bottom