nyamatala.
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 266
- 134
Mimi msukuma au?
Nimekumiss
Nimekumiss
Pamoja na kuwa ccm bado nina uhuru wangu,kadi na kitambulisho cha kura ni mali yangu,wanahusikaje na kitambulisho cha kupigia kura.madaraka hayalazimishwi.Ndugu nini tatizo, maana wenzako wanaona jambo sahihi sijajua wewe kwanini unakuwa tofauti nao?
Au wameingilia ulaji wako
Jeolus people never winCCM mpya imechanganyikiwa, haijui iende kulia au kushoto, kaskazini au kusini, magharibi au mashariki.
Nilijua tu wewe lazima uje na sanasana huwezi kujenga hoja unakuja na matusiOndoa uchafu wako hapa uwongo mtupu walahi
Ww sio mwanaccm kwanza,pili ungekuwa mwanaccm ucngeona kama ni hiyo ni shida make ni kanuni na taratibu za ccm kufanya hvo,siasa ni mchezo wa namba sasa usipojua una wanachama wangapi waliojiandikisha utajua unaenda kuwashinda vp wenzio?????
Hili swali ulishindwa wauliza?Wanaccm tunatakiwa kutambua kuwa kuwa ccm siyo kuwa mtumwa kwa chama bado mwanachama ni huru katika mambo yake na yanatohusu sheria za nchi.
Kuna hili swala laka kusajiri kadi a uanachama kwa kweli naoma linatufanya tuwe watumwa.Mabalozi wameambiwa kila mwanachama apeleke kadi ya kupigia kura na kadi ya uuanachama wa ccm lakini kinachofanyika ni uhuni na ujinga,huwezi kuniambia nije na kiyambulisho cha kupigia kura wakati hakihusiani na chama,na mbaya zaidi inachukuliwa namba ya k iraqitambulisho cha kura na namba ya kadi ya uanachama kwa pamoja.
Nachotaka kujua kuna uhusiano gani wa kitambulisho cha kupigia kura na ccm yangu?
Ili mnipigie kura hata kama mmeweka mgombea mjinga? noo.
Unamtuma balozi wa nyumba kumi akusanye vitambilisho vya kupigia kura? uinga.
Mwanza hili zoezi linaendelea.
Ubavu mnao wa kuchukua funguo za kuzimu?
ungekuwa mwanaccm ungejua maana yake ila kwa kuwa chama chako sawa na picha uliyoiweka hapo kwenye utambulisho wako ndo maana hujui kwa nn wanafanya hvoHivi ccm wote ni wajinga,kadi ya kupigia kura inahusikaje?
Mmeshawahifanya hivo kablaungekuwa mwanaccm ungejua maana yake ila kwa kuwa chama chako sawa na picha uliyoiweka hapo kwenye utambulisho wako ndo maana hujui kwa nn wanafanya hvo
Ni ujinga tu,nina amini huu siyo utaratibu wa siasa safi,kadi ya chama sawa,halafu si lazima uamini kuwa mm ni mwanachama,hukubali sawa tusibishane.Si lazima kuaminiungekuwa mwanaccm ungejua maana yake ila kwa kuwa chama chako sawa na picha uliyoiweka hapo kwenye utambulisho wako ndo maana hujui kwa nn wanafanya hvo
Wameshaumbuka tena. Hahahaaa laana inawatafuna maccm.Wanaccm tunatakiwa kutambua kuwa kuwa ccm siyo kuwa mtumwa kwa chama bado mwanachama ni huru katika mambo yake na yanatohusu sheria za nchi.