WhatsApp inasumbua

WhatsApp inasumbua

Very simple mkuu hilo tatizo fuata hatua hizi
ukitoa lock na simu ikabakia inaonekana home tu
slide kufungua option za pale juu za shortcut utaona notfication ambayo huwa haitoki ambayo inakuwa nikama phone care inaoption za ku-clear ram storage nk
Bonyeza hiyohiyo utaona option ya mambo ya data bonyeza hapohapo,
kisha utaona option ya application data bonyeza hapo
kisha utaona application zako zote hapo mbele utaona option ya WI-FI na Data
hakikisha upande wa data katika whatsapp imefunguliwa ukibonyeza hapo tatizo solved
ukishindwa utakuja inbox nikupigie nikuelekeze

maana kuna badhi zinatofautiana maelezo kidogo, uifanikisha leta mrejesho mkuu ukishindwa nicheki inbox nitakupigia
Asante mkuu nitafanyia kazi
 
Mkuu nashukuru sana nimefanikiwa, Mungu akujalie Afya njema uendelee kuelimisha wengine pia.
 
SHUKRANI

Nawashukuru wote ambao mmenipa maelekezo namna ya kutatua tatizo langu.
 
Back
Top Bottom