Nyie bishaneni tu kuhusu muungano kwani muonekano wa wengi unalenga upande mmoja "KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI NA FIKRA ZA MWENYEKITI WAKE" alihali baba wa taifa na waasisi wengine walisha toa fulsa ya vyama vingi, kilichoshamili katika muungano juu ya wazanzibari kutaka nchi yao ni pale ambapo...
Wadau wa Jf,
Katika rasimu ya pili ya katiba kunakipengele sijakifahamu ki undani wenye uzoefu wa mambo hebu ni fafanulieni,
Kwa kumbukumbu zangu za haraka haraka suala la katiba mpya limekuja baada ya baadhi ya wananchi kulalamika juu ya muungano wa Zanzibar na Tanganyika na hata kufikia...
Binafsi ningependa iwe serikari ya mfumo mmoja kwani sabab ni kwamb nchi yetu ndo inaendelea hivyo basi kutakua na msongamano wa viongoz kibao wa pande zote mbili na kufanya mikopo kuwa mingi kwa ajiri ya kulipa viongozi tu.
Nchi hujengwa na wananchi takukuru yenyewe haitakithi au kukabiliana na mambo bila ya wananchi kutoa taarifa, safi sana kwa taarifa hiyo lakini je suluhisho ni nini kwani hata kama muhusika atabanwa na kutiwa nguvuni bado kesi atashinda tu.
Tanzania yetu ni jaa la tuhuma za madawa, ujangiri na mengineyo, tunapata vichwa vya habari tu hatima yake hatuioni, mfumo huu tumewazoesha wenyewe CCM
Cha msingi tuivue CCM madalaka tuone itakuaje kwani wanafaidika wao tu na familia zao na wakibainika wanapoteza maboya na kuendelea kula...
Siku mbili zilizopita mtaani kwetu hasa katika sehemu ninayoishi yaani nilipopanga niliombwa msaada wa kufungua facebook account, dada kanifuata na kuniaambia tafadhali naomba unifungulie facebook account kwani mimi sifahamu!
Sikua na kipingamizi nikaifungua lakini katka harakati nilijikuta...
Kiwango cha mapenzi au kujamiiana kipo kwani kunafaida na hasara ya kujamiiana.
kiwango ni tatu kushuka chini hiyo ni kiaaramu na kiafya zaidi kwani hata wataaramu wameweka kondo ngapi katika pakti .
FAIDA YA KUFANYA KWA KIWANGO;
1; Hufanya muwe na uwezo wa haraka kufikiri...
Zama hizi ni za teknolojia si vyema kupigana au kufinyana cha msingi ni kumueleza kwa aina kama mbili au tatu
1; mkalishe chini ww mwenyewe baada ya kuwa umemchapa bao moja mueleze ukweli kwa mifano hai.
2; Mtumie marafiki zake na zako kama atashindikana kwa njia ya kwanza
3; Mtumie...
Jaman semen yote lakini akina mama wenye ujauzito wanasumbua mbali na usumbufu pia wao wanakua na hali tofaut ki mwili, akili na upeo wa kufikiri pia uwezo wa kufanya kazi humpungua wanahitaji matunzo ya hali ya juu ili alete kilicho chema jukumu lako baba ni kukabiliana na hali yeyote ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.