naona hapa mnazungumzia mke na mume tu, je kwa wale wenye girlfriend nao wanaruhusiwa kuwapiga au ndio mpaka wawaoe
Kwa hiyo kama wewe mwanaume unanikosea kila mara kitu hicho hicho na nikakuonya husikii nikiwa nakumudu nikakupa kichapo cha haja kesho ukatoka shavu moja limevimba halafu kisha nikakukatikia na kukupa gemu ya nguvu ni sawa? Ndo upendo huo? Unasema tu, just because someone does not do it to you do not think it doesnt hurt...!Hapa mkuu nakupinga, Inagwa sipendi kumpiga mke wangu ila ikitokea akaniudhi nikamuonya zaidi na zaidi lazima spo siku atakula vibao! Kumpiga ni sehemu ya upendo pia unamuonyesha kuwa ni njisi gani unataka badilike hata kwa nguvu ila hauko tayari kumuacha! NB. Usije ukatembeze ngumi na mateke kwa visingizio vya upendo!
Kwa kifupi mwanamke ni kama mtoto, unamuelekza wee, unarudiaaaa, ila ukiona haelekei unamchapa vibao halafu unampa pipi taaaamu, anasahau kuwa ulimchapa mnaendelea vizuuuri halafu baadaae akitaka rudia lile kosa anakumbuka kichapo anaacha.
Hujasikia, Kuna wanawake wanaanzisha zogo ili aone utachukua hatua gani? So Kichapo kwanza halafu inapigwa mechi ya nguvu ataikumbuka hata miezi!
Unafikiri kupiga ndo kunaonyesha upendo? Siwezi hata kukujibu kitu tena maana mtu anayeongea huu ushenzi wa hali ya juu inaonekana umeshaathirika kabisa kuwa mkatili.
mwanaume dhaifu hupiga mkewe
Zama hizi ni za teknolojia si vyema kupigana au kufinyana cha msingi ni kumueleza kwa aina kama mbili au tatu
1; mkalishe chini ww mwenyewe baada ya kuwa umemchapa bao moja mueleze ukweli kwa mifano hai.
2; Mtumie marafiki zake na zako kama atashindikana kwa njia ya kwanza
3; Mtumie wazazi na wazee wenye busara wamueleze uhalisia wa mambo.
4; Hadi hatua hiyo akiwa hajarekebika fuata uongozi wa dini uwaweke kitako kila mmoja atoe dukduku lake.
NOTE; Upendo ni lazima uendelee tena ikibidi uuzidishe mara dufu, na ikumbukwe mwanamke ni kama mtoto unaweza kumdanganya hata kwa zawadi kidogo na akakwelewa, hata hivyo nawe mwanaume hakikisha unasahau baya alilokutendea jana Mtafika tu.
Hapa mkuu nakupinga, Inagwa sipendi kumpiga mke wangu ila ikitokea akaniudhi nikamuonya zaidi na zaidi lazima spo siku atakula vibao! Kumpiga ni sehemu ya upendo pia unamuonyesha kuwa ni njisi gani unataka badilike hata kwa nguvu ila hauko tayari kumuacha! NB. Usije ukatembeze ngumi na mateke kwa visingizio vya upendo!
Kwa kifupi mwanamke ni kama mtoto, unamuelekza wee, unarudiaaaa, ila ukiona haelekei unamchapa vibao halafu unampa pipi taaaamu, anasahau kuwa ulimchapa mnaendelea vizuuuri halafu baadaae akitaka rudia lile kosa anakumbuka kichapo anaacha.
Hujasikia, Kuna wanawake wanaanzisha zogo ili aone utachukua hatua gani? So Kichapo kwanza halafu inapigwa mechi ya nguvu ataikumbuka hata miezi!