Jack patrick alivyonaswa na madawa ya kulevya china

Jack patrick alivyonaswa na madawa ya kulevya china

ila ivi kufanya kazi halali ningumu sana aya sasa inachefua.....
 
Nilishawaambia wafute mashindano ya umisi Tanganyika.
 
Hiyo inamitandao mikubwa wao wanajuana ipo day mungu atafunua shuka lake na kuwaumbua wabaya wote
 
Mbona ashatoka anakula bata kitaani sauvi chezea biashara za wakubwa wewe hafungwi mtu hapa wala hanyongwi mtu tutanyongwa Sie tu watoto wa mamantilie
 
Back
Top Bottom