Huyu wife na mimba yake anakera.

Huyu wife na mimba yake anakera.

Jamani wife ana kibendi sasa amezidi matatizo kila siku yeye anataka maembe,limao, mahindi na chipsi ndo vyakula vyake vikuu, na hataki chakula kingine kama ugali na wali, kwenda kazi hataki anataka eti muda wote tukae tuuu funga hataki nioge eti anataka nishinde bila kuoga hata nikitoka kazini no kuoga nalala hivyo hivyo eti anapenda harufu yangu si kutesana huko.
Hivi kweli ni mimba au hawa wanawake wanatukomoa.

Wife na mimba yake au wife na mimba yetu?
 
Ni mke wako kweli mliyeapizana kwa shida na raha? Au wale wa karibu mgeni tukae?
Au kile kiapo kilikuwa kama ukamilisho tu au kama desa unalokariri na mtihani ukimalizika hukumbuki ulisoma nini!

Acha hizo Bwana kuna mimba zingine zinapenda kunusa t.a.k.o , Mzee mzima unashindia msuli tu ! Chezeya mimba weye !

:what:
 
Ndo shida ya kuolewa na watoto...yani unaita ujauzito wa mkeo 'kibendi'

Umenifanya hata hayo malalamiko nione fake...

Hiyo momba ya bahati mbaya au unahitaji mtoto?
 
Umeona lugha hizo...'mimba yake'; mara ,kibendi'

Kama huyu ni mtu mzima basi atakuwa na watoto tayari (mimba za mchangani) hana mchecheto ha huyo ajaye...

Wife na mimba yake au wife na mimba yetu?
 
teh teh teh, mkuu umepigwa marufuku ya kuingia kunako bafu??!! Kama vipi fanya mazoezi ya kukimbia halafu ile fulana utakayovaa ndio uwe unavaa ukitoka kazini na uwe unamuachia hiyo atatulia tu.
 
Jamani wife ana kibendi sasa amezidi matatizo kila siku yeye anataka maembe,limao, mahindi na chipsi ndo vyakula vyake vikuu, na hataki chakula kingine kama ugali na wali, kwenda kazi hataki anataka eti muda wote tukae tuuu funga hataki nioge eti anataka nishinde bila kuoga hata nikitoka kazini no kuoga nalala hivyo hivyo eti anapenda harufu yangu si kutesana huko.
Hivi kweli ni mimba au hawa wanawake wanatukomoa.

Mimba hiyo wala hakukomoi, bado kulea ndo kwenye fainali
 
jamani wife ana kibendi sasa amezidi matatizo kila siku yeye anataka maembe,limao, mahindi na chipsi ndo vyakula vyake vikuu, na hataki chakula kingine kama ugali na wali, kwenda kazi hataki anataka eti muda wote tukae tuuu funga hataki nioge eti anataka nishinde bila kuoga hata nikitoka kazini no kuoga nalala hivyo hivyo eti anapenda harufu yangu si kutesana huko.
Hivi kweli ni mimba au hawa wanawake wanatukomoa.

huwezi kusema mkeo ana kibendi. Lugha sio poa, muheshimu hata kama hayupo na wewe

mimba ni kawaida kuleta hizo shida japo wengine wanatumia hiko kigezo kama kuleta visirani vyao.

Muelewe na uishi nae.
 
Jaman semen yote lakini akina mama wenye ujauzito wanasumbua mbali na usumbufu pia wao wanakua na hali tofaut ki mwili, akili na upeo wa kufikiri pia uwezo wa kufanya kazi humpungua wanahitaji matunzo ya hali ya juu ili alete kilicho chema jukumu lako baba ni kukabiliana na hali yeyote ili baadae usiwe na majuto kwani kwa kutokujali kwako baba kwa kukwepa usumbufu ni rahisi sana kumpoteza mama,au mtoto au wote kwa pamoja BE FAITFULL.
 
Kwa hiyo mwenzetu cku hizi huogi?kuna vingine usiendekeze,mimba gani ya kumkataza mtu kuoga?labda anaona usipooga hautachepuka nje wala c mimba,vipo vya mimba lkn hyo mhhhhh!
 
Vumilia hayo mapito tu,
Mm nilifungasha mizigo nikarud kwetu toka miez 3 had najifungua na nilimpga stop Kuja home
Inakua matatizo ya muda tu, hapo hajanza nuna bila sababu
 
Back
Top Bottom