Recent content by kazimba

  1. kazimba

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    Kweli[\b]
  2. kazimba

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mechi ya Yanga vs Kagera Sugar Leo 18/03/2015! VPL

    safiiiii
  3. kazimba

    JamiiForums Tanzania Mengine tuwaachie wenyewe jamani

    nilichojifunza,kabla ya kufanya km huyu jamaa inabidi nimuulize bibie kwanza km usalama upo!
  4. kazimba

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, January 29, 2015

    kwa ninavyoelewa mimi,bunge la 10 ni kipindi anachozindua Rais bunge hadi anapolivunja kwa ajili ya uchaguzi mkuu ndio maana Sita aliongoza bunge la 9,hili likivunjwa baada ya uchaguzi likizinduliwa tena linakuwa la 11,mkutano wa 18 ni kwamba toka kuzinduliwa bunge la 10 hii ni mara ya 18...
  5. kazimba

    JamiiForums Tanzania Vurugu bungeni zasababisha Bunge kuahirishwa asubuhi hii

    wameahirisha hadi kesho saa 3 asbh
  6. kazimba

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi: Maajabu yafuatayo yatatokea Zanzibar Leo!

    Katika hili hata katiba ilitolewa na tume iliyoongozwa na warioba isingeondoa tatizo hili,kwani ikija tanganyika siku ya trh 09 Dec ingekuwa ni sherehe ya Tanganyika hivyo rais wa JMT angekuwa anaingia uwanjani,baadae anakuja Rais wa Tanganyika.
  7. kazimba

    JamiiForums Tanzania PICHA: Panya road wawili wauwawa

    nimefungua nikiwa na picha yangu kichwani,hatimae nakuta panya kwel:confused:
  8. kazimba

    JamiiForums Tanzania Chanel Ten Uzembe Huu Usirudiwe

    nilikuwa sielewi,hakuna habari za serikali za mitaa....naona mambo ya miaka 53 ya uhuru nikawa bado gizani kufika za michezo naona mambo ya big brother sijakaa sawa khaa mechi ya mtani jembe haijachezwa nikadhani nipo usingizini nikapata furaha maana timu yangu ilifungwa......
  9. kazimba

    JamiiForums Tanzania Hongera channel 10 kwa kuchukua jukumu la TBC

    wametusaidia kujua hali halisi ya uchaguzi na pia inaongeza hamasa kwa baadhi ya watu waone umuhim wa uchaguzi huu
  10. kazimba

    JamiiForums Tanzania Mwendawazimu chizi

    kwa sethi wabunifu sana
  11. kazimba

    JamiiForums Tanzania Baba na mwana!!

    c mchezo
  12. kazimba

    JamiiForums Tanzania Je unataka kumwoa aliyefiwa na mume, mwache kwa miaka mitatu apumuwe!

    Ukisubiri miaka mitatu, wenzako watakuwahi.
  13. kazimba

    JamiiForums Tanzania Miundombinu: Zaidi ya kaya 300 zilizojengwa ndani ya hifadhi ya TAZARA kubomolewa

    utaratibu wa tazara huo,wana mikoa miwili mkoa wa Tanzania na Zambia!km mikoa ya kipolisi ilala temeke kinondono
  14. kazimba

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa kibongo na fasheni

    sipo akilini mwake,ila nadhani hata kujadiliwa huku kwake anaona amefanikiwa,kuna wakati hawa tunaowaita mastaa huwa wanafanya kitu ili watengeneze stori
  15. kazimba

    JamiiForums Tanzania Kinacho endelea sasa TBC live "KONGAMANO"

    mnaburudishwa na taarab
Back
Top Bottom