Ndugu zangu nchi hii imeoza na "material condition" inaita kwa mapinduzi makubwa, JK ameelemewa kabisa na hali hii. Sasa kuna wale wenye mawazo finyu wanaosema kuwa kuna chama cha siasa kiko nyuma ya hili, mimi nakataa, tuangalie hoja je ni ya msingi? Siku za ccm sasa zinahesabika na wantapa...
Nakumbuka sana mama Anne Kilango alipokuwa anachangia hotuba ya bajeti alisema kuwa anataka kuona hizo fedha za EPA zinarudishwa kwenye viroba. Sijui kama wezangu mlimuelewa, mimi nafikiri alikuwa na maana kuwa pawe kweli na uthibitisho kuwa hizo fedha zimerudi.
Lakini aliongeza kuwa kama...
Sasa mheshimiwa mimi naomba kuuliza, huo uchunguzi wa kina ni nani wakuamrisha? ni huyu huyu Kikwete tunayemfahamu ama ni Bunge. Jana mjadala umefungwa na waziri kutoa majumuisho yake lakini sikuona kama kuna azimio lolote la Bunge la kutaka Buhemba ichunguzwe.
Lazima ieleweke kuwa sisi...
Pole sana "mchungaji"
Mimi nafikiri waliompiga walifanya vizuri tu. Hivi yeye hana sera za kuwaambia wananchi? Atuambie DP itafanya nini ikiwa watapewa jimbo la Tarime, sio kutuambia fulani kaua. Hata kama fulani kaua na anweza kuleta maendeleo ya Tarime kuna shida gani? Hiyo kazi ya kaua au...
Download attachment ndio utaelewa fikra pevu za Mwanakijiji. Napenda nikupongeze sana mwanakijiji, sasa naweza kuona kuwa ukombozi wa Mtanzania umekaribia.
Picha za nini mkuu, kama si kweli IGP akanushe. Yale ya Zanzibar yamehamia Tarime, nguvu na vitisho. Akishinda mgombea wa upinzani atatangwa wa ccm kisha polisi watamwagwa mitaani tusikie fyoko fyoko.
Hapo mkuu umekosea sana, Tanzania sasa iko katka wakati wa mpito, paradigm shift, toka katika ujinga kwenda katika werevu. Ni kweli hatukuzoea isipokuwa huo ndio mwanzo na tunaendelea kukomaa, na ni kweli katika mapambano ni lazima pawe na watu wa kutolewa kafara. Hongereni NMB kwa kuonyesha...
Hapo umekosea, nilitegemea useme kuwa CUF na CHADEMA ndio vyama makini na CCM lazima iondoke. Kwa nini sisi kwa sisi tunashambuliana? kama tuna nia ya ukombozi kweli ni lazima tukubali kwa kauli kuwa tunaye adui mmoja naye ni CCM, of course na vibaraka wake kama Mtikila. Pongezi CUF na pongezi...
Mpendwa napenda kukueleza kuwa nchi si muda mrefu itakuwa out of control, na kila mmoja anajua kuwa Kikwete haiwezi kabisa hali inayokuja kuikabili nchi siku za karibuni, huenda ndiyo maana anasafiri san. Lakini tuko katika wakati wa mabadiliko. Wataalamu wanaita Paradigm shift, toka katika hali...
Mimi naona wana JF mapambano haya dhidi ya ufisadi yanatakiwa yapigwe kwa kila kona. Bwana Gembe wazo lako la kwenda jimbo hadi jimbo ni zuri lakini resources hakuna. Dawa ni moja tu, na historia inatuambia kuwa mapinduzi yoyote ya nchi hayafanywi na watu wa vijijini isipokuwa wa mijini. Hakuna...
Bahati nzuri nilikuwepo pale kwenye huo mkutano na Dr Slaa alimtaja wazi kwa jina Rostam Aziz kuwa ndiye mwenye Kagoda Agriculture na kule BRELA anaonyesha jina la mtu mwingine ambaye ni mlinzi katika kampuni yake ya Caspian kuwa eti yeye ndiye Mkurugenzi wa hiyo kampuni.
Kazi ipo kweli...
Mimi ninaunga mkono wote waliopendekeza Mtikila akapimwe akili. Tunamsifu tu kwa kuishinda serikali katika suala la mgombea binafsi, lakini haya mengine madai yake yote huwa hayana uthibitisho. Kuna wakati kama mnakumbuka liishia jela.
Ni huyu huyu Mtikila aliyeituhumu CCM kumuua Kolimba...
Kubenea kazi moja tu, kinara wa mafisadi lazima ashughulikiwe halafu tunawaambia wengine waanze kutia maji wakingojea zamu zao. Hakuna fisadi waku-relax mpaka wote watokomee. Lowasa ni lazima ashughulikiwe, akimshughulikia Nape naye ashughulikiwe na Kubenea mpaka atokomee. Na bdao sasa mafisadi...
Kwani unategemea DPP atasema nini? suala la EPA ndio limefikia mwisha wake. Hakuna wa kupelkwa mahakamani wala wa kurudisha pesa. Wadanganyika tuliwe tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.