Mkuu Mohamed,
Heshima mbele bro, exactly hicho ndio kinacho-miss kwenye this whole mess ya Umoja Wa Vijana, hakuna record wala mifano ya uongozi, ungetegemea kuwa by now wananchi wa Tanzania, tutakuwa tumejifunza namna ya kuheshimu uwezo wa kiongozi, kwa kuuchambua wazi tena bila unafiki,
Nchimbi, sio siri ni a great campaigner lakini hana strong record ya uongozi, zaidi tu ya kuwatumia viongozi wengine tena mpaka wenye academic qualifications kuliko zake, kwa ajili ya manufaa yake, lakini record ya kazi ya uongozi wake kwa wananchi hakuna! record ya uongozi wake kwa taifa hakuna!
Sawa at one point alikuwa ni mmoja wa the architects, waliomsaidia Rais wa sasa na mtandao mzima kuingia kwenye power, lakini record nzima ya Mtandao na Rais wa sasa, ni mfano tosha wa kumuweka pembeni kabisa na mchakato mzima wa huu uchaguzi, na hata kumkatalia kabisa mgombea anayetaka kumpigia debe, kwa sababu amepiga sana debe kwa Kiwete, Lowassa, na Rostam kushika power, and they did, matokeo yako wazi kwa kila mwananchi wa taifa hili, sasa iweje tena huyu huyu Nchimbi bado tu aendelee kujaribu kutuchagulia viongozi wengine tena?
Hapa ndipo ninaposema kuwa hawa viongozi wetu wa taifa, wana-benki sana kwenye uwezo mdogo wa wananchi kuelewa kinachoendelea, mimi nilitegemea Nchimbi ajitokeze public na kusema wazi kuwa ameshindwa ku-prove wananchi wrong kuwa hana uwezo mkubwa wa uongozi kisiasa on the national level, kwa hiyo anajitoa kwenye any-process ya kutafuta viongozi wengine wa siasa wa taifa, lakini here he is bila aibu eti this time amempa Nape, alama ya E sasa swali hapa linapaswa kuwa nani hasa anastaili kupewa E, kati ya Nape, Lowassa, Kikwete, na Chimbi? Eti unahitaji kuwa professor kulijibu hili, ambalo realistically ni a none political question?
Kwa wale mnaomfagilia Nchimbi na huu udikteta wake kwenye hiki chama, can you just for once mkatupa his leadership record? Halafu ni lini mtakubali publicly kuwa amekuwa akiwa-back wrong political leaders? na wasiokuwa na record kama yeye? I mean ifike mahali ukweli uwekwe wazi, marafiki wa Nchimbi, siku zote wamekuwa ni kina Lowassa, Rita mlaki, na Rostam, halafu leo tena huyu huyu Nchimbi bado anakuwa na political power ya kujaribu kutuwekea another joker huko Vijana?
Hivi kweli anaweza kujibu swali la kwa nini siku ya kutajwa majina ya wabunge wa kuliwakilisha bunge kwenye mazishi ya Mheshimiwa Mbunge Amina Chifupa (RIP) huko Iringa, ilibidi Spika aliruke jina lake bila kulitaja ingawa na yeye alikuwemo kwenye lists hiyo? Hivi anakumbuka maneno ya Spika later on katika kujaribu kuwaelewesha waandishi wa habari kuwa ni kwa nini aliliruka jina lake? Ile tu peke yake haimtoshi kukubali kuwa it ia about time sasa akakaa pembeni na kuwaachia kina Nape nao wajaribu?
Ameshasahau jinsi alivyokuwa akililia mtandao kupewa nafasi kwenye vikao vya kamati kuu, na kwamba wasipopewa nchi haitawalika, hivi kweli anaweza kusimama na kusema wazi kuwa sasa yeye na wenzake wakiwa kwenye power kama walivyokuwa wakililia, nchi inatawalika kweli? Unajua ni ishu kama hizi ndio zinaeleza wazi, uwezo wetu wananchi wa kuelewa siasa yetu, wengine wanasema maneno ya Ridhiwani, hivi jamani kweli record ya baba yake kama rais wa nchi hii for the last two years, kweli inampa huyu kijana nafasi ya kutaka kuamua kiongozi wa vijana awe nani?
I mean to you rais Kikwete, huwezi tena kumlaumu mtu ulitaka nafasi, wananchi tutakupa, hivi kweli haya unayoyafanya sasa ndio hasa iliyokuwa your vision kwa taifa hili? What is the vision anyways? Hii debate nzima ya uongozi wa Vijana hivi kweli exactly what it is all about? Watu waliohusika na failed policies leo tena wanataka kutuamulia our future leaders? Wanataka kutuwekea viongozi wa mfano kama wao tena?
Halafu na sisi wananchi we are so much caught up na huu ujinga hata kurushiana maneno mazito as if kuna viongozi kweli, kumbe ni mfano tu wa viongozi ambao hili la uongozi wa vijana wa CCM ni clear example of how they think of us wananchi, kuwa ni wajinga, wakuu it is about time tukawaambia hawa viongozi kuwa enough is enough! Enough of the last two years, tuliyoyaona yametutosha hatutaki zaidi tena!