Recent content by kayengar

  1. kayengar

    JamiiForums Tanzania 'Mwezi' ukipita kati ya Dunia na kituo cha NASA

    Duh
  2. kayengar

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani kuhusu Clomiphene

    Wadau naomba kujuzwa namna ya kutumia hivi vidonge kwa mwanamke mwenye kusaka mtoto vinatumiwa wakati gani? Kwa maana ya wakati wa period ,baada ya period tu, au akiwa akiwa kwenye siku za hatari ya kupata mimba?
  3. kayengar

    JamiiForums Tanzania Picha ya katikati ya mwaka ingelikuwa ni wewe ungelifanyaje hapo?

    Labda huyo aliyekaa hapo ndio dereva
  4. kayengar

    JamiiForums Tanzania leo nimekunywa supu ya kongoro.

    Duh umeua
  5. kayengar

    JamiiForums Tanzania Dereva maarufu wa mbio za magari Afrika Kusini Gugu Zulu afariki akipanda Mlima Kilimanjaro

    Acha kufananisha vitu vya kijinga na mizimu
  6. kayengar

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku kusambaza mafuta ya mashoga

    Zamaradi na kaoge wake ndio wamewafanya hawa jamaa wawe katika wakati mgumu
  7. kayengar

    JamiiForums Tanzania Msaada laptop yangu inazingua

    Latitude
  8. kayengar

    JamiiForums Tanzania Ukweli juu ya NASA kutuma chombo mwezini

    Na bora wasiende kabisa huko kwa mwezi hiyo ni kujifanya kimbelembele kwa mwenyezi Mungu
  9. kayengar

    JamiiForums Tanzania Msaada laptop yangu inazingua

    Ni Dell 620 Windows 7
  10. kayengar

    JamiiForums Tanzania Msaada laptop yangu inazingua

    Msaada laptop yangu sina ya dell inazingua kidogo kwenye net ipo slow na music ina play tatizo lipo kwenye video iwe video ya YouTube au ambayo saved kwenye computer ikiplay baada ya dakika 3 tu inaanza Ku-scratch balaa tatizo litakuwa wapi maana nimeishaifuta nimebadilisha windows lakini wapi...
  11. kayengar

    JamiiForums Tanzania Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

    Hata sitaki kujaribu maana ushaanza kutisha watu
  12. kayengar

    JamiiForums Tanzania Vitu ambavyo vingefanyika kama Mungu angekuwepo kweli

    Dah Mkuu umeongea point kubwa sana mambo mengi tu sayansi bado haiwezi kujibu na Mara nyingi hata ikijibu inakuta ni issue ambayo imeshafanyika au IPO kwenye process ya kufanyika bila kuja Nani anefanya ifanyike ndio maana mie huwa naamini tu katika Mungu ili niwe safe side hata nikifa nikikuta...
  13. kayengar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali tunaomba chombo maalum cha kudhibiti mahari kwani tunanyanyaswa na Wakwe!

    Haina haja ya kulalamika sana mjaze mimba tu huyo mchumba halafu katika kugegedana jitahidi uwe mbunifu
  14. kayengar

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Ma-MC 10 kuongoza harusi ya Masanja Mkandamizaji

    Duh mbona huyu babu wa watu mnamuandama sana muwe na huruma lemutuz
  15. kayengar

    JamiiForums Tanzania Vitu viwili ambavyo Messi hawezi kufanya but CR7 anavifanya!

    Ni ukweli kimafanikio ya kimpira Ronaldo ana cha kujivunia tofauti na mess na nadhani anguko la mess kwenye team ya taifa linazungumziwa zaidi sababu ameshindwa kuisaidia team yake ya taifa japo amezungukwa na masuper star tofauti na tonaldo
Back
Top Bottom