Recent content by Kayenga jr

  1. Kayenga jr

    JamiiForums Tanzania Nini tatizo la pikipiki aina ya boxer?

    Hakuna boxer 125 hiyo itakuwa mchina
  2. Kayenga jr

    JamiiForums Tanzania Le Baharia amuonya Diva Loveness

    Endeleeni tu huku insta anafukuzana na watu wanamtukana na wanaomkashfu asije akahamia na huku
  3. Kayenga jr

    JamiiForums Tanzania Utangazaji unalipa

    Gari kama mpya itasumbua nini sasa ? Na kwa wajanja ukinunua gari mpya usikae nayo zaidi ya miaka 3 uza unanunua new model maisha yanaenda hayo mambo ya mafuta na service kama umeweza kununua gari sidhani hivyo vitu vinaweza kukushinda labda uwe mbululazzzzz
  4. Kayenga jr

    JamiiForums Tanzania Izack Emil afikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumtukana Rais Magufuli Facebook

    Kutokana uchapakazi wa Rais wetu sasa hivi kila mtu anawajibika kwenye kazi yake matokeo yake ndio kama haya ni kama tunafungwa midomo
  5. Kayenga jr

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa bahati nasibu (mkeka) umenitoa kimaisha

    Huku kutafuta maisha kwa kubahatisha kama hivi ndio maana vijana wengi wanazeekea kwenye nyumba za wazazi wao kwanini usifanye kazi tu ukajipatia maisha yako mazuri kuliko kufanya hii kitu ya kubahatisha matokeo yake wazazi wakiondoka mnabakia kugombea urithi unadhani mzazi wako angekuwa na yeye...
  6. Kayenga jr

    JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi/tendo la ndoa na mzazi wa mwezi mmoja

    Kama mke ni wako yupo tu haraka yote ya nini mpe angalau miezi 3 kakuletea mtoto au ndio nyege za kuku
  7. Kayenga jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukimya wake unaniweka njia panda, naomba ushauri

    Unapoteza muda wako kwa huyo mtu maarufu
  8. Kayenga jr

    JamiiForums Tanzania Vitu ambavyo vingefanyika kama Mungu angekuwepo kweli

    Mambo ya imani ni magumu sana ila mtoa Mara wewe baada ya kuzaliwa ulijuaje kwamba huyu ni mama yako pamoja na baba yako
  9. Kayenga jr

    JamiiForums Tanzania Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

    Huyu Dada ni mswahili sana na bahati mbaya huwa kuna wambea wenzake ambao huwa wanampa umbea kila anachokiandika huwa kina ukweli flan tatizo lake ni kigeugeu
  10. Kayenga jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa upuuzi huu wa wife, hivi nikigegeda rafiki yake nitakosea?

    Duh umetisha
  11. Kayenga jr

    JamiiForums Tanzania Faiza afunguka vilivyo kuhusu Sugu kuoa

    Sometimes huwa namuelewa some times chenga
  12. Kayenga jr

    JamiiForums Tanzania Dini imeingilia bongo movie hatuwezi kwenda popote

    Ki ukweli mie kuangalia hiyo kitu inayotwa bongo movie labda siku huyo tu itokee nimeamua kupumzika na familia ndio waweke hata hivyo huwa sio interested maana nikangalia dakika 5 nakuwa nimeshajua itakwelisha hata kama ndio imeanza
  13. Kayenga jr

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazopelekea Jasusi (Spy) kuisaliti nchi yake

    Kwa hiyo hawa jamaa majasusi wanakuwa kama kama ma professional wambeya wa kimataifa sema umbra wao unakuwa wamesomea!!
  14. Kayenga jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjue mwanamke asie muaminifu kwa kumuangalia tu

    Kuna ukweli ndani yake japo sio saaana
  15. Kayenga jr

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Sokoine: Tujiondoe jela ya kifikra

    Duh balaa kwa hiyo kwa maelezo yako.hapo INA maana kawawa alienda kwa babu kufanya mambo
Back
Top Bottom