Nini tatizo la pikipiki aina ya boxer?

Nini tatizo la pikipiki aina ya boxer?

mpaka sasa ipo poa sana maana inavyotoa moshi na saut ilikuwa ya tofaut sana
 
Habari wanajf.tatizo la pikipiki aina ya boxer la kutoa moshi ni nini?.mie yangu imenishinda nimefunga ring piston.tatizo lipo pale pale.nikanunua block bado tatizo lipo palepale.huwa nikifunga inatembea wiki moja tu inaanza kusmoke.nini tatizo wadau la hizi pikipiki?
Uza tu,nilitumia boxer miaka mitatu sikugusa kitu zaidi ya kubadili mnyororo,sprocket na oil
 
Nilihitaji kununua boxer kwa ajili ya speef yake ila nilionywa kabisa na mafundi kwamba kama nanunua kwa starehe sawa ila kama ni kwa ajili ya kazi nisinunue
 
Habari wanajf.tatizo la pikipiki aina ya boxer la kutoa moshi ni nini?.mie yangu imenishinda nimefunga ring piston.tatizo lipo pale pale.nikanunua block bado tatizo lipo palepale.huwa nikifunga inatembea wiki moja tu inaanza kusmoke.nini tatizo wadau la hizi pikipiki?
Jenga mazingira ya kuibadilishia oil mara kwa mara. Pia tumia oil nzito SAE 40
 
Back
Top Bottom