Mwezi anakupa tu kama kajifungua kawaida, ila ndo mdogo mdogooo bado hali haijawa shwari kivile
Kubemenda ni nini? Unambemendaje?Hebu fafanua vizuri, huwezi kumbemenda mtoto, naomba darasa kidogo
Zibuwa masikio wewe mtoto atakuwa kiziwi huyo, kweli jando na unyago tuvirudishe haraka hizi kitchen party na begi party zinatuharibia vijana wetu.Hebu fafanua vizuri, huwezi kumbemenda mtoto, naomba darasa kidogo
Sijakuelewa mkuu, hebu fafanua kidogo, umeniacha hapoZibuwa masikio wewe mtoto atakuwa kiziwi huyo, kweli jando na unyago tuvirudishe haraka hizi kitchen party na begi party zinatuharibia vijana wetu.
Teh japo ni story tu ila pia huijui vizuri, according to waongeaji kubemenda ni kwenda kufanya mapenzi na mtu mwingine ambae sio mzazi wa mtoto then huogi unamshika mtoto, inadaiwa kufanya hivo mama akimnyonyesha mtoto ataharisha, afya inazorota na bla bla kibao KITU AMBACHO NI UONGO TUKubemenda mtoto ni kule kutoka kufanya hilo tendo AF hamuogi mkamshika mtoto mnakua mnamuachia majadho yenu kwahy mnashauriwa mkitoka kukutana na mwezio haraka jisafishen mkoge mtoe hilo josho ndo mumshike mtoto sio mmetoka kwenye hyo shughul mtoto gafla kalia unamdaka unambembeleza kiivyo mtamuharibu mtoto angali mdogo..kwahy jifanyien USAF vizur mkitoka shughulini
Muache jamaa ajilie taratibu bana, aweke hata kichwa tu sasa kiu yake apeleke wapi?Acha umbambala ndugu, Mwezi mmoja!! Muache apumzike kutokana na kazi ngumu aliyoifanya toka ulipombembesha hilo tumbo hadi kujifungua.
Anamaanisha umewahi mno mwezi mmoja unataka K..Vumilia kidogo hata miezi 3&4 ,ijali afya ya mtoto zaidi kiongozi mana hata Jando wazee husisitiza hilo kipindi kama hichi onyesha tu ukaribu wako kwa mkeo na kumsaidia mambo kadhaa ye ataridhika na kile unachomfanyiaSijakuelewa mkuu, hebu fafanua kidogo, umeniacha hapo
Khaaaaaa 90 days zinapita hivi hivi??Mwezi mmoja bado sana mkuu. Muache hadi pale viungo vyake vyote na chemba zote zirudi normal!
Atleast siku75-90 walau hata yeye atakuwa na mihemko ya mambo yetu yaleee!
Halafu zingatia kitu kimoja mhimu, ukiwa "unamkula" usimkumbatie sana kiasi cha kumuachia jasho lako mwilini kwake sio nzuri kwa ustawi na afya ya mtoto wenu. Ikiwezekana piga zile za pembeni very steadly kama hutaki vile!
Halafu pia ni vizuri kuoga baada ya tendo.
Kubemenda mtoto limekaa kiimani zaidi hamna mwana sayansi yoyote atakuthibitishia kama kuna ukweli wowote,ila hizi mambo zipo kikubwa jamaa avumilie tu kama ulivyomshauriIla kaka jitahidi kuvumilia kidogo,yaani mkeo hajamaliza hata 40 unataka mzigo?mm kama mm hua namuacha miezi minne toka ajifungue ndio naanza kula mzigo.hebu vumilia kidogo.
Kubemenda mtoto wanadai inatokea pale unapofanya mapenzi na mwanamke mwingine then ukarudi home bila kuoga ukabeba huyo mtoto au mama wa watoto nae kufanya mapenzi na mwanaume mwingine then akirudi home anaendelea kunyonyesha mtoto,hapo ndio mtambemenda lkn km ni nyie kwa nyie hiyo haina shida.
Haya na maneno ya mitaani sujui kama ni kweli kisayansi wataalam watatujuza zaidi.lkn kikubwa jaribu kuvumilia apone vzr nyege gani hizo ulizo nazo?
Mbona pakupeleka hakukosikani, kuna kuwa na nyumba ndogo ya kuzugia miez miwil mitatu au hata zile huduma za kununua au akishindwa kabisa avumilie kwani asipofanya kwa miezi atapungukiwa nini?Muache jamaa ajilie taratibu bana, aweke hata kichwa tu sasa kiu yake apeleke wapi?
Hii ishu ya kumzibua mtoto masikio ilinichekesha sana nlivoisikia siku ya kwanza lolZibuwa masikio wewe mtoto atakuwa kiziwi huyo, kweli jando na unyago tuvirudishe haraka hizi kitchen party na begi party zinatuharibia vijana wetu.