Recent content by kawaida2

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ada elimu msingi: Hatua moja mbele itakayoturudisha hatua mbili nyuma

    Acha urongoz, makontena yatasomesha watoto wote tz
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rappers bora wa muda wote nchini Tanzania

    Chimbende
  3. K

    JamiiForums Tanzania Serikali mmekurupuka uamuzi wa level seat mnagombanisha abiria na trafiki

    Mi nashauri kwnza wangefanya utafiti ni kwanini abiria wanasimama, then majibu yake yangewapa muongozo nini cha kufanya badala ya kukurupuuka tu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Binti wa kazi wanne wapo Karatu

    Karatu ninayoijua mimi hakuna wasichana wanaweza kufanya kazi za ndani, hapo kuna wauza bar + nanihii na wapiga ndole, Au labda we unataka kuanzisha mtandao wako wa blacksport
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mapya yameibuka kuhusiana na tukio la kuuawa majangili Dar es salaam

    Inaonyesha ni jinsi gani hawa askari wetu wasivyo na weledi wa kuzuia ujangili bali wako ki deal zaidi, So wameacha mzigo uondoke kwanza ili wao wachukue ela, sasa kwa style hii czani kama ujangili utaisha tz. Magu- mbona bado una kaz ya ku tu mbu a na chunusi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi mbunge wangu Shibuda?

    Nami naomba kuuliza, ivi yule mbunge aliwahi kutamka bungeni kwa kuwaambia wabunge wa upinzani wana ( ASHKI ) bado ni mbunge?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Huu ni wizi waziri wa mawasiliano tuokoe

    ehT emas ot em
  8. K

    JamiiForums Tanzania Cheo cha First lady kimefutwa?

    lass mir alein bitte
  9. K

    JamiiForums Tanzania Cheo cha First lady kimefutwa?

    Uc nichanganye akili wewe ata kama nimekunywa safari ndogo 2 lkn najua nilichoki post, please don't make my knight tafu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa ni Makonda lakini angekua ni Mnyika hapo sawa!

    Uwez kumlingalinisha mtu ambae amechagiliwa na wanainchi na yule ambae amechaguliwa na mtu mmoja kwa fadhila ya kumuudumia mtoto wako vizuri
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Dunia kutengenezwa kulikuwepo na nini??

    Mi ngoja nitege sikio Karibuni wapevu wa mambo
  12. K

    JamiiForums Tanzania Cheo cha First lady kimefutwa?

    Cna uakika na kabila la huyu mama, kwa hiyo unataka kuniambia magu-- ni shemeji wa wachaga?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Cheo cha First lady kimefutwa?

    Nafikiri Janet hapendi makuu, kama wale waliopita, alilelewa kiafrica
  14. K

    JamiiForums Tanzania Vyuo na Taasisi za Elimu ya Ushirikina duniani

    Mbona wenye ghamboshi yao wanapinga kuwa ghamboshi c chimbuko la uchawi,
  15. K

    JamiiForums Tanzania Polisi Wauana Kwa Risasi Jijini Mwanza Wakiwa Lindoni

    Kwa vyovyote vile mchokozi ni huyo askari aliyekuwa kiraia, kamfuata mwenzake kwenye lindo ili kumlingishia kuwa anataka kutoa ela ili akaitumie kumgegedea demu wake lkn jamaa (muuaji) alikuwa ameshapata infor
Back
Top Bottom