jmchimbadhahabu
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 218
- 106
Ni kuhusu hili sakata la ufisadi wa tatkibani bil 5.7,mkuu huyu wa wilaya anaonekana kupigana vita ya peke yake,katelekezwa kabsa sioni watu wakimuunga mkono iligali anapigana na ubadhilifu wa mabilulioni ya pesa za mradi wa ujenzi wa mabarabara kinondoni. Swali kwangu ni je hivi ni kwa nin haungwi mkono ama mpala angeliibua awe na itikadi fulani ya kisiasa?