Nafikiri Janet hapendi makuu, kama wale waliopita, alilelewa kiafrica
Nafikiri Janet hapendi makuu, kama wale waliopita, alilelewa kiafrica
Huyu regina ni mmachame?!Sio kama Regina!Mumewe kupewa tu fursa ya kugombea Urais akawa kihelehele mpaka akashikwa Mpododo na Mchungaji
Huyu regina ni mmachame?!
Rais Magufuli kaudhihirishia umma wa Watanzania kwamba mke wa Rais SIO 'Naibu Rais.'Na wala si sehemu ya taasisi ya Urais.Na pia kuwa mke wa Rais si fursa ya kujitengenezea taasisi uchwara za ulaji.
Cna uakika na kabila la huyu mama, kwa hiyo unataka kuniambia magu-- ni shemeji wa wachaga?
Sio kama Regina!Mumewe kupewa tu fursa ya kugombea Urais akawa kihelehele mpaka akashikwa Mpododo na Mchungaji
Huyu regina ni mmachame?!
Hatuna cheo hicho katika katiba ya nchi, upuuzi huu umeletwa na Mwinyi, Mkapa na Kikwete, wakati wa utawala wa JK Nyerere hakukuwa na upuuzi huu.Tangu awamu ya tano ianze cheo hiki hakipati airtime kabisa, aidha hata taasisi iliyo chini ya cheo hiki siisikii kabisa.
Kuna nini? maana kimya ni kingi.
Uc nichanganye akili wewe ata kama nimekunywa safari ndogo 2 lkn najua nilichoki post, please don't make my knight tafu