Binti wa kazi wanne wapo Karatu

MBOPOLI

Senior Member
Aug 12, 2015
160
27
miaka 19,22,18,24 kama ahitaji pm mimi hapa

asante sana
Update:WAMEPATA KAZI TAYARI
 
Karatu ninayoijua mimi hakuna wasichana wanaweza kufanya kazi za ndani, hapo kuna wauza bar + nanihii na wapiga ndole,
Au labda we unataka kuanzisha mtandao wako wa blacksport
 
Karatu hao wauza k tu wasumbufu sana hawawezi kazi wakishajua kuvaa tight na mitumba ya mwenge basi kutembeza k mtaa mzima
 
Kuna mtu humu aliwahi kutangaza kuhusu binti wa kazi Karatu.
Tukawasiliana kwa simu lakini kulikua na dalili za utapeli japo alijitia ulokole mwingi.
Tulishindwana mimi nilitaka nitume nauli kwa mtu nayemfahamu huko ndio ampakie ila huyo kaka akakataa akataka hela atumiwe yeye hata nusu ili amsafirishe dada, inayobaki nimtumie dada akishafika.
Muwe makini mno.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom