Cheo cha First lady kimefutwa?

Cheo cha First lady kimefutwa?

Alishaongea ktk moja ya kampeni zake sikumbuki ni wapi akisema wao kwao mwanamke si wa kumuweka mbele mbele wao kikubwa ni Kazi tu!
 
Kuna watu flani walituharibia sana hii nchi..yaani kila ukigeuka unakutana na kingora..nani ooh first lady anazindua sijui nn...anatoa vigodoro ..anafanya sijui ----- gani yaani ovyooo...sasa jembe limeingia nchi inaenda vzr
 
Rais Magufuli kaudhihirishia umma wa Watanzania kwamba mke wa Rais SIO 'Naibu Rais.'Na wala si sehemu ya taasisi ya Urais.Na pia kuwa mke wa Rais si fursa ya kujitengenezea taasisi uchwara za ulaji.

Ndiyo tupo mwaka wa kwanza wa utawala wake tena mwezi wa pili tu.
 
Back
Top Bottom