Recent content by Katomlb

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally hiyo Barua ya Kumfuta Kazi Kocha Mkuu Pablo unairusha lini? au Hasira zetu tuzianzie Kwako mjue mmetukera?

    Ninachoona kocha ndo awe anapendekeza wachezaji anaowataka. Sio unamfukuza kocha unaanza usajili kocha analetwa mwishoni na wachezaji hawajui. Iwapo italazimu kumfukuza kocha basi kabla ya usajili kocha mpya awe ashakuja. Yeye ndo apendekeze wachezaji anaowataka
  2. K

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Naomba kujua shahada ya kwanza sheria ni shiling ngapi kwa mwaka, inasomwa kwa muda gani, kila mwaka unasoma kozi ngapi na ni zipi
  3. K

    JamiiForums Tanzania Yanga wamekuwa wabunifu sana, leo watatambulisha wachezaji wapya uwanjani kama Real Madrid...

    Yanga wapuuzi kweli unataka kupoteza mqchungu ya kupoteza mapinduziunaamua kuwadanganya na utambulisho wa ushindi. 😂😂😂😂 Kwanza mukoko kagoma kutolewa kwa mkopo sijui mtafanyaje na bado hawajaanza kulogana ndo mtajua mziki wa wakongo kudadeki
  4. K

    JamiiForums Tanzania Aliyesoma Elimu ya Masafa(ya Mtandao) kama Open University akikutana na waliosoma UDSM, SAUT na Mzumbe anatakiwa Kuchangia lolote?

    😂😂😂😂😂 kikubwa wadau wajue kwamba kama una mishe zako usiziache kisa unaenda kampasi jisaliji OUT kula msuli huku ukipiga mishe kitaa maishela yaendelee maana ni chuo cha serikali na kiko chini ya TCU
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kati ya Supplimentary na Carry-Over ipi inawekewa nyota kwenye cheti ngazi ya chuo kikuu?

    Carryover ni nyota mbili sup moja hvyo pambana kuepuka hyo aibu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nataka ku reseat o'level examination

    mbona sioni msingi wa tahasusi ya sayansi hapo . kama hujasoma physics bado utakuwa hujasoma sayansi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Karibuni Open university of Tanzania

    kwa upande wa undergraduate sheria kwa mwaka sh ngap na gharama zake zote kwa mwaka na inachukua miaka mingap
  8. K

    JamiiForums Tanzania Karibuni Open university of Tanzania

    naomba kujua kozi ya sheria inachukua muda gani na ada kwa mwaka na gharama zote kwa mwaka zikoje. ahsante
  9. K

    JamiiForums Tanzania Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

    simba kuna kitu ndani na huenda yanayosemwa ni sahihi
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wanasheria mahiri wamesoma Open University lakini Mawakili nguli wametokea University of Dar es salaam!

    huyu mwamba anatafuta wanaojua ili achague ni wapi asome law na si vingnevyo
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nani anastahili Tuzo za Mhamasishaji Bora Ligi Kuu?

    kwangu mimi hakuna hata mmoja kama watapimwa kwa wingi wa mashabiki NUNGAZ ndo aletwe
  12. K

    JamiiForums Tanzania Biashara wanavyocheza Yanga mnapata hisia gani?

    Biashara watafanya pyramid wajipange kisawa sawa hvyo azam wana kaz kesho
  13. K

    JamiiForums Tanzania HESLB wananidai tsh ngapi?

    naomba hatua za kufuata hadi kujua kiwango cha deni la heslb
  14. K

    JamiiForums Tanzania Afisa kilimo ngazi ya kata, hulipwa shilingi ngapi serikalini?

    hakuna mshahara wa afsa kilimo kata bali kiwango cha elimu ndo mshahara wako
Back
Top Bottom