Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,276
Popote ndan ya tz unasomaNa hii inakuwa ni in general kwa viteule vyoote au ni special kwa makao makuu tu
Popote ndan ya tz unasomaNa hii inakuwa ni in general kwa viteule vyoote au ni special kwa makao makuu tu
Kila kitu kinawezekana ni juhud zako tuNataka sana kujiunga open university kuchukua dgrr lkn mfumo wa material ukoje,quiz zke zikoje mm Niko peke yng kujisomea naweza fanikiwa kwel?
Mkuu maelezo yako yamekuwa na msaada mkubwa sana humu mm nimiongoni waliokiwa na mawazo mgando juu ya open university baada ya kufanya uchunguzi wa kina nmegundua open ni chuo kikubwa sana dunia... mtu mwenye cheti cha sua, udom, kcmc, bugando, navyote vya tz accept udsm hamkuti mtu mwenye cheti cha open kwa level za kimataifaHayo mawazo yako mimi sina kazi wala nini ila nipo Open sio wote wana kazi wanao soma open
Mkuu maelezo yako yamekuwa na msaada mkubwa sana humu mm nimiongoni waliokiwa na mawazo mgando juu ya open university baada ya kufanya uchunguzi wa kina nmegundua open ni chuo kikubwa sana dunia... mtu mwenye cheti cha sua, udom, kcmc, bugando, navyote vya tz accept udsm hamkuti mtu mwenye cheti cha open kwa level za kimataifa
Ingia wikipedia then kaangalie affiliations za OUT dunia na vyuo vingine vya hapa bongo ndio utajua hujuiAcha uongo.
Mikopo ipo, inafuata vigezo vile vile vya Loanboard! Kinachotokea ni kwamba kwa sababu OUT huhitajiki kulala chuo au kula chuo hupati lile wenzio wanaita boom ambayo ni gharama ya hostel na meal allowance!UBAYA WA OUT KWA DEGREE NI HAKUNA LOAN / MKOPO KWA WANAFUNZI SO UNAJILIPIA ,
Huo ni mtizamo wako lakini bado upo wrong, wapo wengi sana vijana wadogo hawana ajira na wanasoma fresh!! Na haijaanza leo toka kitambo sana japo pia watu wenye shughuli zao hubalance muda na kuamua kujisomea kwa njia ya OUT.Ukweli ndiyo huo mkuu, wengi wanaokuja OUT wamekosa ruhusa kazini mambo ya kujielewa mleta mada ameamua kutuuzia chai tu
Foundation mmechemka mara mwez wa 9 final mara mwez wa 5 hamueleweki.
Process za kuomba zinakuwa sana na vyuo vya kawaida?Mikopo ipo, inafuata vigezo vile vile vya Loanboard! Kinachotokea ni kwamba kwa sababu OUT huhitajiki kulala chuo au kula chuo hupati lile wenzio wanaita boom ambayo ni gharama ya hostel na meal allowance!
OUT utapata stationary pekee, tuition fee, zinalipwa direct chuoni!!
Exactly!Process za kuomba zinakuwa sana na vyuo vya kawaida?
Tatzo hawa wanaopiga si watu wakutafuta taarifa wao hujaji tu kutokana na mawazo ykoHuo ni mtizamo wako lakini bado upo wrong, wapo wengi sana vijana wadogo hawana ajira na wanasoma fresh!! Na haijaanza leo toka kitambo sana japo pia watu wenye shughuli zao hubalance muda na kuamua kujisomea kwa njia ya OUT.
Na wakimaliza wanaingia kwenye soko la ushindani wa ajira kwa kishindo kikuu!!
Pitia centres za OUT mkoa wowote mchana uone watu wanavyopiga kitabu iwe library au kwenye vimbwete garden!!
OUT ni chuo kikuu bora kabisa Africa, cha pili katika taasisi zinazotoa elimu masafa, nafasi ya kwanza ikichukuliwa na UNISA ya SA. Wacha masihara!!!
Unakuta tunataka kusoma kozi tofauti na za kule kazini hivyo ruhusa utanyimwa tu ndio maana inabidi kujiongeza na openUkweli ndiyo huo mkuu, wengi wanaokuja OUT wamekosa ruhusa kazini mambo ya kujielewa mleta mada ameamua kutuuzia chai tu
Vijana karibuni muapply open chuo kizuri sana kwa watu wanaojua kujitafutia na kucheza na mda
Sijui ni kwanini sina imani kabisa na Elimu ya Open. Nina dhana km nineshindwa kusoma campus ni bora niendelee kula ugali nyumbani sio kwenda Open