Biashara wanavyocheza Yanga mnapata hisia gani?

Wachambuzi wa Bongo kutwa kuchambua makosa tu na kuzivunja moyo team zetu. Tunaposema league yetu ni bora kati ya nchi 12 bora Africa hii ndo tafsiri yake. Leo hii team ya kiwango cha wastani kama hii Biashara inaonesha soka safi kabisa katika mechi kubwa ya kimataifa, lazima Watanzania tujivunie league yetu.
 
Ok tuseme biashara wana wazidi
Hata michango ya wadau umeona ,Walibya siyo walaini ,kuna mpira wanao Ila unafeli but Biashara wanacheza kama tipu,huyu Atupile Green imekwaje hakuchukuliwa na Simba ?
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom