Karibuni Open university of Tanzania

Karibuni Open university of Tanzania

Gharama za PGDE zipoje?
Na unaweza kamilisha ndani ya mwaka mmoja?
Inawezekana utakacho hitaji ni kusajiri unit zote kwa wakati mmoja .Na kufanya mitihani na. Ufauru unit moja kwa PGDE ni elfu 80. Kila kozi ina unit 2 =16000 zidisha kwa unit zote unazo soma .
 
kwa upande wa undergraduate sheria kwa mwaka sh ngap na gharama zake zote kwa mwaka na inachukua miaka mingap
 
Ndio vizuri, usiwe na deni la mkopo, ukipata kazi unakula mshahara mwenyewe sio unagawana na HESLB.
Hawa vijana hawalijui balaa la mkopo....kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi shirika moja mshahara ukitoka wale wenye mikopo ya chuo wakishakatwa madeni yao wanazidiwa mishahara na watu wa diploma
 
Open university ndiyo chuo ambacho utasoma huku ukiendelea na kazi ama business , huna sababu ya kuomba ruhusa!! ahsante aliyeleta tangazo tena kuanzia foundation - PhD
Mkuu naomba unieleweshe vizuri kuhusu foundation course ,masomo ya afya vip
 
Mkuu naomba unieleweshe vizuri kuhusu foundation course ,masomo ya afya vip
Hii utolewa kwa walifail 4m 6 na utasoma jumla ya masomo 6 matatu ya combination mengine communication, ict jngne nmesahau. Then utakuja kufanya mtihani ukipata gpa kuanzia ya 3 nakuendelea utaruhusiwa kusoma chuo kikuu chochote tanzania. Kwa maelezo zaid fika tawi lolote lililo karibu nawe
 
Development studies
 
Back
Top Bottom