Afisa kilimo ngazi ya kata, hulipwa shilingi ngapi serikalini?

Afisa kilimo ngazi ya kata, hulipwa shilingi ngapi serikalini?

A love

Member
Joined
May 17, 2021
Posts
93
Reaction score
119
Hello wakuu,

Naomba kuulIza eti mshahara kwa watu wanaofanya kazi kwa secta ya kilimo yaani, afisa kilimo ngazi ya kata hulipwa shingapi serikalini?
 
hakuna mshahara wa afsa kilimo kata bali kiwango cha elimu ndo mshahara wako
 
Hello wakuu,

Naomba kuulIza eti mshahara kwa watu wanaofanya kazi kwa secta ya kilimo yaani, afisa kilimo ngazi ya kata hulipwa shingapi serikalini?
Certificate TGS B1- 395,000/=AFO III-- Kijiji
Diploma TGS C1- 525,000/=AFO II-- Kata
Degree TGS D1- 710,000/= AO II
 
Back
Top Bottom