Recent content by Kativo

  1. K

    Natafuta mume wa kunioa

    Kama more than 45 inakubalika? Deni la bodi ya mikopo ni kiasi gani? Mahari ni kiasi gani?
  2. K

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Sasa Jamani hawa marafiki wanamtuma kununua Hari? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

  4. K

    Inawezekana mtu ukapata Letter of offer of employment and employment contract?

    Nawashukuru wote kwa michango yenu ya mawazo. Ntawapa feedback baada ya siku chache zijazo.
  5. K

    Inawezekana mtu ukapata Letter of offer of employment and employment contract?

    Habari wanajamvi, Je hivi inawezekana mtu ukapata letter of offer of employment and employment contract moja kwa moja kutoka kwenye barua ya maombi ya kazi bila interviews na tests mbali mbali?
  6. K

    Tunauza miche ya miti aina ya mitiki kwa bei nafuu sana

    Mkuu Hata Mimi katika thread fulani nilishawahi kuuliza hili swali lakini sikujibiwa.
  7. K

    VIFURUSHI VYA VODACOM

    Chomoka huko fasta!!
  8. K

    Kutengeneza incubator

    Na Kilimanjaro Mtakuja lini Mkuu. Hayo mafunzo ninayataka.
  9. K

    dagaa wa kukaangwa kutoka mwanza

    Mkuu hebu naomba ufafanue bei vizuri.
  10. K

    Kilimo cha Viazi Mviringo (Viazi Ulaya) na Masoko Yake

    Kuna aina ya Kiazi inaitwa obama kinalimwa sana Lushoto. Watu wa pande hizo nawaje watoe data za kutosha tunufaike.
  11. K

    Nimewekeza kwenye mitiki inalipa, karibu tuwekeze

    Kazi nzuri. Je, inachukua miaka mingapi kuvunwa Mbao? Je, maeneo ya milimani inaweza ikasktawi? Soko lake likoje ?
  12. K

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Ubarikiwe kwa ku-share great knowledge. Presentation imetulia.
  13. K

    Msaada kuhusu mbegu za nyanya

    mie niko Kilimanjaro pls nishaurini pia.
  14. K

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Je,maeneo ya milimani huku Same, Kilimanjaro zao linaweza kustawi kwa kutegemea mvua za msimu mfano vuli?
Back
Top Bottom