Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Mimi ni mfugaji kwa miaka minne sasa Avatar yangu inanitambulisha pia. Sijaona faida ya mnyama huyo isipokuwa hasara. Ana gharama za malisho na rahisi sana kudumaa...Kwa ufupi hachelewi kukosewa katika ukuaji.

Unaweza kujaribu ukajionea mwenyewe ingawa wengi humu ambao hawafugi watakuja kukupa ushauri wa kwenye vitabu.
Mimi kwa sasa nafuga kama huduma si faida tena kwakuwa mabanda nilishayajenga ya kisasa hayawezi kukaa hivi hivi.

YANI UMEONGEA UKWELI MTUPU,,HATA MIMI NAFUGA NA ENEO NILILOPO SIO KIJIJINI BAS NINA KAMA MIEZI SITA
,,HIYO GARAMA YA CHAKULA NI BALAA ,,HALAFU UKUAJI PIA NI WA SHIDA KWA HIYO NI BALAA +++,ILA SIJAKATA TAMAA BADO KILA SIKU NAANGALIA NJIA ZA KUPUNGUZA GARAMA BADO SIJAFANIKIWA,,NGOJA NIONE MWAKA HUU UKIISHA NIJITATHMINI UPYA..
 
Kijijn huku tunaenjoy majani yapo mengi na mashudu bei ni 2000 kwa debe so ykifuga ela unauina vizuri sana
Mfano mm nlikuwa na nguruwe 40 madume tu nliyanunua sehmu tofauti tofauti wakiwa wadogo kabisa 3months old mwezi wa 4 walmaliza mwaka nkawauza kwa 350000 kila mmoja = 14000000 kumbuka nilwaasi wote nkatoa garama ya chakula na dawa pamoja na kuwanunua wao wenyew 3500000 huku nanua madhudu kwa debe moja elfy 2000 muhudumu ni mm mwrnywe na wife wangu coz nkitoka kazin saa9 mchana naandaa msosi wao so approximately profits ni kama 10 ml hiv so ufugaji na biashara mahali inatgmea na maxingira ulyopo pamoja na upatikanaji w chakula coz ndio kinagharama kubea sana

WAPI HUKO MKUU
 
Asante mkuu, wewe unafugia wapi,mkoa, wilaya n.k
 
Mimi ni mfugaji kwa miaka minne sasa Avatar yangu inanitambulisha pia. Sijaona faida ya mnyama huyo isipokuwa hasara. Ana gharama za malisho na rahisi sana kudumaa...Kwa ufupi hachelewi kukosewa katika ukuaji.

Unaweza kujaribu ukajionea mwenyewe ingawa wengi humu ambao hawafugi watakuja kukupa ushauri wa kwenye vitabu.
Mimi kwa sasa nafuga kama huduma si faida tena kwakuwa mabanda nilishayajenga ya kisasa hayawezi kukaa hivi hivi.
Uko kama mimi yaani. Bora yako labda ni karibu na nyumbani.... mimi ni mbali kidogo na home. Sasa ukute chakula kimeisha, (nimeajiri zee sumbufu ndo linawahudumia.) Litapiga simu hata saa 8 ya usiku au lipate matatizo ya familia yake. Utatamani kulia.... mpaka saivi nawaona nguruwe kama simba
 
Ramea nakuunga mkono asilimia Mia mbili. nimefuga hapa Dsm mwaka mzima nguruwe 10 faida kila mmoja elfu 40. hakuna value for money kabisa.
Fuga kuku wa mayai (layers) mkuu....achana na hayo maguruwe.
 
Hizo huwa ni hadithi tu, hata pure friesian breed mwenyewe hatoi hizo kwa siku, hiyo pure breed ya friesian utaitoa wapi katika ukanda huu wa kitropical?
True. Ni wanyama wachache sana wanaoweza kutoa lita 30 kwa siku. Nimewahi kushuhudia ng'ombe mmoja aliyetolewa shamba la Kitulo anatoa lita 30 kwa siku. Ila wakati wa joto huwa anateseka sana na uzalishaji maziwa hushuka...labda umfungie AC kwenye banda lake na umpe matunzo ya kuzungu ndipo ataendelea kutoa lita hizo 30 kwa siku...otherwise mazingira ya joto yatalimit production ya maziwa.
 
Ng'ombe zinalipa mkuu, kama una mtaji. Usilinganishe biashara ya ng'ombe na nguruwe, kuku au ufugaji wa Samaki

Ng'ombe wanalipa katika maziwa sana na bado ukichinja pia wanalipa sana

Mfano ; una ng'ombe wako wa kisasa anatoa litre 10@siku
Litre 10* siku 300= litre 3,000 kwa mwaka
1 litre= Tshs1,500
3,000 litre = Tshs 4,500,000
Kwa mwaka unapata iyo apo
Aya toa nusu yake kwenye Madawa na muhudumu
Tshs 4,500,000*1/2= Tshs 2,250,000

Ufugaji unalipa jamani
Hivi takwimu za kufikirika zinatuumoza watanzani, ng`ombe anatoa maziwa mwaka mzima?
 
Habari wakuu! Ninaimani mpo Salama kwa neema ya Mungu wetu.

Wakuu mi natamani kuanza kufuga ngurue jijini mwanza japo sina network, ningetamani kama kuna mtu yeyote anafunga mnyama huyu huku Mwanza anisaidie japo kwa mawazo tu.

Natanguliza shukrani nikiamini mtanisaidia.
nimefuga kwa miaka nane sasa,nilifikisha nguruwe mia,sasa nimebakiza kumi nahama huko nahamia kwenye kuku,gharama zimekuwa nyingi na pia km mtu wa kusafiri safiri unaweza shangaa nguruwe wanadumaa wafanyakazi wanachakachua vyakula na kuuza,pia hata kijijini bei ya nguruwe si kubwa km mjini,kwa maeneo ya baridi hawaendi kwa spidi km maeneo ya joto.
hakikisha miezi minne ya mwanzo fulow up ya nguvu kwenye misosi na usafi wa nguvu,na minyoo unawachoma kwa muda muafaka,na anti biotic usisahau
 
Sijui nifuge nini, kila ntakachofikiria nakutana na comment kua ni hasara sasa sijui niombe ajira tena au
Mkuu usipate mkanganyiko wewe kama una nafasi hapo unapoishi fuga mifugo midogo midogo hata kwa kuchanganya tafuta kuku wawili,bata wawili na kanga wawili dume na jike hao chakula chao cha kawaida ni pumba na majani baada ya mwaka utajikuta umepiga hatua kubwa huku ukiendelea na michongo yako mingine hao wanyama wakubwa kama nguruwe inatakiwa uwe umejipanga kuwahudumia sio kitoto.
 
mambo makuu makuu manne ndio muhim
1.Banda zuri
hakikisha unatengeneza banda imara ambalo wanyama wako watakuwa confotable lkn pia litakalokuwa linaweza kupitisha uchafu kirahisi
2.mbegu bora
hakikisha unafanya tafiti na kupata mbegu nzuri,kwa kuanzia nakushauri ununue majike yenye mimba au ambayo tayar yba miezi kuanzia 6 au 7 ..ila ukianza na vitoto sana mradi utakuchukua muda mrefu bila kuona matunda.
3.vyakula
fanyua tafiti ya kutosha kuhusu chakula,kwa bahati nzuri nguruwe wanakula vyajula ving sana,mfano pumba za mahindi waweza kuchanganya na pumba laini za mpunga au ukakusanya vyakula vya migahawa na pia nyasi laini(siyo nyasi zote ni nzuri kwa nguruwe).pia hakikisha hiyo sehem utakayofugia inauwepo wa maji ya kutosha
4.usafi
nguruwe si wachafu ila wafugaji ndio wanakuwa wazembe kusafisha mabanda hivyo kupelekea uchafu kulundikana na banda kutia kinyaa,ila usafi ukiwa unafanyika kila siku hakika mradi wako utakuwa ni wakuvutia

n.b nitafute inbox kwa meng zaidi..hata mm niko mwanza pia

MKUU ASANTE KWA KUMWAGA MAChAChE hAPA lakini NAShAuRI UTIRIRIKE hAPAhAPA MBONA PM MKUU UKO SISI WENGINE TUTAKOSA MAMBO KAKA..
Ushauri tuu...
 
Kama kuna lolote ungependa kufahamishwa we uliza tu mkuu,nitakuelewesha kadri ya ufaham wangu juu ya huu mfugo.ondoa shaka mkuu

Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app

asante for quick reply. ila mimi nashauri kama mtu ameamua kuingia mazima kwenye sekta ya kilimo na ufugaji ni bora ukawekeza vema kwenye suala la usimamizi, kama wewe muwekezaji una muda basi simama kweli kweli lkn kama huna muda basi weka watu wenye weredi na uchungu na mradi wako. ni kweli wasimamizi wengi si waaminifu, wanahujumu sana miradi yetu labda kwa tamaa ya pesa ama ushawishi.. mimi nasema ufugaji na kilimo ni miradi yenye faida sana ila tuu ifanywe kwa umakini na uangalifu wa hali ya juu. kwa mfano. kama mtu anamtaji wa maana akapata samba ata eka 10 humo unaweza kuweka vitu kibao na mambo yakawa safi pia.. ila kwa wale wanaofugia mjini ni ngumu kimtindo manake mjini panahitaji mtaji mkubwa ambao mwisho wa siku mfugaji atapata hasara asipokuwa makini.
 
Ng'ombe zinalipa mkuu, kama una mtaji. Usilinganishe biashara ya ng'ombe na nguruwe, kuku au ufugaji wa Samaki

Ng'ombe wanalipa katika maziwa sana na bado ukichinja pia wanalipa sana

Mfano ; una ng'ombe wako wa kisasa anatoa litre 10@siku
Litre 10* siku 300= litre 3,000 kwa mwaka
1 litre= Tshs1,500
3,000 litre = Tshs 4,500,000
Kwa mwaka unapata iyo apo
Aya toa nusu yake kwenye Madawa na muhudumu
Tshs 4,500,000*1/2= Tshs 2,250,000

Ufugaji unalipa jamani
Hehehe..niko Mwanza natafuta soko la lita 40 za maziwa embu naomba unisaidie maana sasa naelekea kujuta.
 
Back
Top Bottom