Tunauza miche ya miti aina ya mitiki kwa bei nafuu sana tunakuletea ulipo kwa mikoa mitatu yaani pwan, daressalaam na morogoro kwa@Tsh350
Naomba kujua nini hasa kazi ya mitiki.
Mitiki sio kwa nguzo za umeme hapana, mitiki inatumika sana kwenye meli na ni miti isiyooza kwa miaka mingi sana, na soko lake kubwa ni Ulaya.. Mfano ukiwa Mayo hapa Tz wazungu wanaeza kuja kukulipa na ukaendelea kuitunza mpka itkapokuwa tayariHii ni miti kwa ajili ya mbao pia ina soko kubwa sana nje ya nchi kwan hutumika kutengenezea nguzo za umeme pia
Ni kweli mitiki huitaji maji mengi sana hivyo hulazimika kupeleka mizizi yake chini sana kufyonza maji ya kutosha ili kuifanya ardhi yake iwe na majinasikia hii miti huwa inanyonya maji mengi sana ardhini, yaani ukipanda kwa wingi inaweza ikaathiri hadi mazao yaliyo karibu na hiyo miti, au ilo shamba baada ya muda huwez fanya kilimo kingine, NI KWELI!?
nasikia hii miti huwa inanyonya maji mengi sana ardhini, yaani ukipanda kwa wingi inaweza ikaathiri hadi mazao yaliyo karibu na hiyo miti, au ilo shamba baada ya muda huwez fanya kilimo kingine, NI KWELI!?
nasikia hii miti huwa inanyonya maji mengi sana ardhini, yaani ukipanda kwa wingi inaweza ikaathiri hadi mazao yaliyo karibu na hiyo miti, au ilo shamba baada ya muda huwez fanya kilimo kingine, NI KWELI!?
Mti w mtiki unatakiwa kuvunwa baada ya miaka mingapi?na bei ya mti mkubwa ulio tayri kuvunwa kwa sasa bei gani ya soko? Please