dagaa wa kukaangwa kutoka mwanza

May 7, 2017
27
2
KINGS SUPPLIER TUNAJIHUSISHA NA USAMBAZAJI WA DAGAA WA KUKAANGWA KUTOKA MWANZA kwa bei ya jumla na reja reja..... ni dagaa safi wasio na mchanga...wamefanyiwa packaging katika mazingira safi na salama....tunapatikana DSM KIGAMBONI..
mawasiliano 0655-198126,0763175222
bei kwa pakiti kwa reja reja 1000...jumla kuanzia 40 PC ni 850+Free delivery
 
IMG-20170526-WA0040.jpg
 
pakiti moja ya gram mia ni 1000 ....ukinunua kuanzia pakiti 40 bei inakua 850 plus Free delivery kwa wakaz wa dar

Wewe tafuta mtu wa marketing maana hiyo kazi ya kuelewesha mteja huiwezi..umeng'ang'ania tu pakti ya gram mia ni 1000..sa hyo gram mia ujazo wake upoje nikiagiza wa buku na familia yangu ya watu 7 litatosha? .jipange ufanye biashara
 
alitaka mchanganuo wa bei hakutaka kujua pakiti ya dagaa inatosha idadi wa watu wangapi.......nashukuru pia kwa mawazo yako ntayafanyia kazi.....SHUKRANI
 
Wewe tafuta mtu wa marketing maana hiyo kazi ya kuelewesha mteja huiwezi..umeng'ang'ania tu pakti ya gram mia ni 1000..sa hyo gram mia ujazo wake upoje nikiagiza wa buku na familia yangu ya watu 7 litatosha? .jipange ufanye biashara
Ujazo unamaanisha nini? Umeambiwa gram(uzito) wewe unataka ujazo kwa maana ya volume?

Ushawahi jua ujazo wa kilo(gram 1000) ya sukari?

Yeye hawezi jua familia yako mnakula kama mamodo au makuli
 
Wewe ndio wale wale..yeye katoa tangazo la bishara wateja wawili wamakuja na maswali mmoja anataka kuona package kwa picha Mwingine anaomba zaidi ufafanuzi sasa hapo ujanja wa biashara ilitakiwa either atume picha za kutosha mteja ajionee mwenyewe na la pili kutoa ufafanuzi zaidi wa hiyo bei na sio kuendelea kung'ang'ania tu kuwa gram ni sh 1000 na kumuachia mteja assignment ya kukokotoa uzito...sasa we endelea kumpumvaza mwenzio aendelee kubishana na wateja tu..tena biashara ilivyo ngumu sa hivi
 
Ngumu kwako..ni sawasawa na kusema hela hamna na wakat kuna watu wanapesa bado sena kwa upande wako..
 
Wewe ndio wale wale..yeye katoa tangazo la bishara wateja wawili wamakuja na maswali mmoja anataka kuona package kwa picha Mwingine anaomba zaidi ufafanuzi sasa hapo ujanja wa biashara ilitakiwa either atume picha za kutosha mteja ajionee mwenyewe na la pili kutoa ufafanuzi zaidi wa hiyo bei na sio kuendelea kung'ang'ania tu kuwa gram ni sh 1000 na kumuachia mteja assignment ya kukokotoa uzito...sasa we endelea kumpumvaza mwenzio aendelee kubishana na wateja tu..tena biashara ilivyo ngumu sa hivi
sjabishana na mteja.....ndo mana nimemjibu kaelewa we kichwa ngumu endelea kutaka unachotaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom