Kutengeneza incubator

Kutengeneza incubator

Iringa lini? Mkuu kinsakina.
Ngoja tupange ratiba mkuu
1e995deb4d36612b001a4788308c7fb5.jpg
,mashine imeanza kazi,ni full automatic
 
Naam kikundi cha YEA groups kinapenda kutoa mafunzo ya utengenezaji incubator za aina zote , kwa teknolojia rahisi sana
Hapa mafundi wakiunda incubator kwa njia rahisi
162e397237528665b2f3f9a43dce4b67.jpg

79f3c7e8ff2b5a34faf4b1623f28f02b.jpg

d90b468050bccbcbd241e50bc707234f.jpg

Mashine hapo juu imeanza kazi
defc751c98c83741eb26c3214b4f6d23.jpg

Ni full automatic
Mrejesho mashine imefanyiwa majaribio na iko tayari
96b987e841d8645309dc8369a40ec8e8.jpg

Hao ni vifaranga walioanguliwa asilimia ya uanguaji ni 90%
 
Back
Top Bottom