Recent content by Katikiro

  1. Katikiro

    Zitto Kabwe: Takwimu za Pato la Taifa kwa robo iliyoishia Juni 2017 si sahihi, ZIMEPIKWA! (PDF attached)

    Ahsante Mh. Zitto nimekufuatilia kwa uzuri, umewaanika.
  2. Katikiro

    Jerry Muro: Lema alikuwa Rasta, kazi zake za usiku sijazisahau!

    Huyu dogo ni mpuuzi MNO. Niishie hapo.
  3. Katikiro

    Tecno watoa simu ya camera ya mbele yenye mp 21

    Mi natumia Tecno Boom J8, nina amani zote..
  4. Katikiro

    Rais Magufuli: Natamani Malaika ashuke na aifungie mitandao ya kijamii

    Kiongozi mkubwa anakuja na kauli za kuiogopa mitandao ya kijamii, ukimsikiza vizuri ni kama analaani kuwepo, hataki kukosolewa, anataka afanye atakavyo kwa wakati atakao bila swali. Serikali yake imetoka Mbinguni haipaswi kuhojiwa Wala kukosolewa maana inajua kila kitu. Unamuelewaje mtu huyu...
  5. Katikiro

    Dr. Kimei wa CRDB: Kuporomoka kwa shilingi kuna faida kubwa kwa Watanzania

    Mh...! Napata shida na kauli ya Kimei, ngoja tusikize wadau wana lipi la kusema.
  6. Katikiro

    Diamond Platnumz afunguka kuhusu tuzo za Killi Music Awards

    Mimi nadhani, sijaona alipokosea Diamond. Na hapa ndipo nasi tunadhani kwa kunyamaza tu, yatosha kuitwa Busara. I beg to differ. Natambua kuwa ukimya ni mzuri, hata hivyo hauwezi kuwa mzuri wakati wote, hata hivyo nmekiona alichokiandika Diamond, amejenga hoja nzuri sana, na inayoeleweka...
  7. Katikiro

    Diamond anyakua tuzo 3 zinazotolewa na Chomva 2014

    Nliuliza kwa nini mmemzomea Diamond wakati wa Fiesta. Majibu yalikuwa mengi, na ni bahati mbaya yote yalikuwa ni ya kijinga. Vyovyote itakavyokuwa, siyaangalii mafanikio ya Diamond kama yake bonafsi, ila ya watanzania wote na kwa kweli kwenye tasnia yote ya muziki wetu hapa Tanzania.
  8. Katikiro

    ITV ndani ya DSTV via Channel 293 kuanzia kesho

    Afadhali Mchaga kajiongeza.
  9. Katikiro

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Kutokana na nilivyomuelewa Jaji Warioba. Lengo la Mwl. Nyerere ni kuitoa nchi katika nchi moja yenye serikali mbili kwny Tanzania moja yenye serikali moja. Na alifanya hvy kwa vitendo kwa mazungumzo, tena kwa kufuata katiba. Ndiyo maana Jaji anaaema akiwa anatoka madarakani aliacha mmb ya...
  10. Katikiro

    Kwani Mtabiri ni nani?

    Niliwahi sema kwa kuuliza swali; kwamba tutegemee Bunge gani kama 90% ya wabunge wa CCM walipatikani kwa mizengwe na Rushwa? Kwamba wataenda kumlipia nani fadhila za kuwa mbunge, mwananchi ambaye hata hivyo hakumchagua kwa kura za kutosha ama aliyemfadhili kuupata ubunge huo? Angalia...
  11. Katikiro

    Nimeichoka 'Samahani' Yako (sorry is a Sorry Word)

    Nimesoma kisa chako. Maamini mm si mtu sahihi kukuhukumu. Hata hvy. Ni lazima ukubali umekosea kwa ulichofanya. Kwsbb ulikuwa ktk wkt mzr wa kumwambia Anita aendelee na maisha yake, au ungeacha alipogundua mara ya kwnz na yule wa Saloon. Lkn kikubwa anza upya. Kama umeshindwa kumrudisha...
Back
Top Bottom