utakuja
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 1,062
- 996
Naomba utoe evidence ya issue ya charge hususani screen on time ukiwa unatumia Internet sio unaongea tu bila proof mfano mimi hii ni screen on time yangu ya Galaxy s6 nikiwa natumia apps tofauti na 4g saa zote. Naomba unipostia yakohayo ni maoni yangu baada ya kutumia zote hizo mpaka nikaichagua techno
kwanza interms of charge hakuna simu inayomgusa techno ndio maana techno huna haja kutembea na power bank
na hicho ndicho kitu cha msingi katika simu
camera wapo vizuri
storage the same
speed wapo vizuri
kipi cha zaidi
labda cha kuniudhi katika mfumo wao tu android maana after a while kuzingua kwingi tofauti na window phone au ios
