Recent content by Katani...

  1. K

    Movie gani ya mahusiano, mapenzi imeshawahi kukufurahisha?

    dah. kuna movie mpya ya mwaka huu inaitwa "Lust for Love (2014)", ni nomaa, ina full-comedy, na kwa wale madomo-zege inafundisha sanaa!
  2. K

    Zijue Movie Mpya Kali 2013 na 2014

    Kwa wale wa "Romantic Movies"... 1. Barefoot [2014] 2. Endless Love [2014] 3. About Last Night [2014] 4. That Awkward Moment [2014] 5. Romeo & Juliet [2013] 6. The Great Gatsby [2013] 7. Im In Love With A Church Girl [2013] 8. Peeples [2013] 9. Love & Honor [2013] 10. Beautiful...
  3. K

    Paul Makonda: Naunga mkono ongezeko la posho Bunge la Katiba

    Kweli, wanatuliza mawazo yao kwenye katiba..
  4. K

    Vodacom Wajanja Night sio unlimited tena

    Yani ni bora wangeongeza makato kidogo, coz watu wengi wanajiunga na "wajanja night offer", kwasababu ya; Kasi ya mtandao na zaidi ni Bando (kuwa UNLIMITED) #Vodacom , fanyeni research, wateja wenu wengi mtatupoteza (wengine tuna line za voda, only for internet hasa iyo "wanjanja night...!)
  5. K

    Kazi kikosi cha zima moto

    Habari Leo la lini..?
  6. K

    Mbunge wa Chalinze, Said Bwanamdogo yu mahututi ICU - MOI

    eheehee, yaani kwa hizi comments, sipatii picha, siku yule sijui "mwigulu wa nchemba" akiugua..duh!
  7. K

    Nyasura - Bunda: Mgombea wa CHADEMA Magambo ni Mganga wa Kienyeji sio Mtoto wa Waziri Wassira

    Nimeongea icho ulichojibu..Af, hivi nikishataja hayo maeneo sijui 30 ya Bunda ndo inakuaje sa?
  8. K

    Nyasura - Bunda: Mgombea wa CHADEMA Magambo ni Mganga wa Kienyeji sio Mtoto wa Waziri Wassira

    Nimeamini, kumbe kweli kuna mijitu huwa inaongea uongo humu (yan labda ingekuwa sehem nyengine, bt ka ni Bunda naijua In&Out, coz ni kijijini kwetu na nilikuwepo huko kwenye likizo ya mwisho wa mwaka jana, watu wana mwamko balaa na wanataka badiliko na kiukweli CHADEMA inapendwaaa)...et, "Hapa...
  9. K

    Mashirika ya Serikali bila kujuana ama kubebwa ama kuonga hupati kazi

    Nowadays.. -is not about "know how" -is about "know who"
  10. K

    Kwa waliosoma procurement and supply chain management au procurement and logistics.

    Amekwambia lengo lake ni "kujiajiri", wewe unasema "ni ngumu sana kupata kazi"...!!!?
  11. K

    Maana halisi ya Chama cha Siasa na maudhui ya Zitto na wafusi wake wa CCM,

    Ndo hivo, yan sijui kwanini jamaa, anapenda sana aonekane yeye tu (kujitukuza/ubinafsi/umimi), haingii akili kuwa mafanikio yoyote yanaweza kupatikana kupitia kwa mtu mmoja tu, bila kushirikiana na wengine. Lakini, kwanini kila unapomsikia Zitto, yeye ni "nimefanya..." nasi "tumefanya...", na...
  12. K

    Maana halisi ya Chama cha Siasa na maudhui ya Zitto na wafusi wake wa CCM,

    Umeonaee? Yan, ogopa mtu anayejiona bora kuliko wengine
  13. K

    Maana halisi ya Chama cha Siasa na maudhui ya Zitto na wafusi wake wa CCM,

    Anayezungumziwa hapa ni "Zitto", hayo ya sijui Nasari, fungua uzi mpya nitachangia
  14. K

    Maana halisi ya Chama cha Siasa na maudhui ya Zitto na wafusi wake wa CCM,

    Na niongezee.. -chama kama chama ni lazima kuwe na "team-work" Sasa, ukiona mtu kila alifanyalo/alisemalo (hasa mambo ya kitaifa yenye kuhitaji umoja, yan kiuhalisia ni lazima watu wasaidiane kufanikisha), lakini unakuta mtu ni "mimi nimefanya hili kwa nguvu zangu/nimedhubutu mimi peke...
Back
Top Bottom