Amanijua
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,776
- 1,636
jambazi linavua viatu na lazma livae koti kubwa jeusi
Acha kukariri wewe!!!! Sasa wabongo wanacheza movie kali za Action,mpaka magari ya kijeshi yanatumika.
jambazi linavua viatu na lazma livae koti kubwa jeusi
Acha kukariri wewe!!!! Sasa wabongo wanacheza movie kali za Action,mpaka magari ya kijeshi yanatumika.
hiz za kibongo nazpata torrrent?
Acha kukariri wewe!!!! Sasa wabongo wanacheza movie kali za Action,mpaka magari ya kijeshi yanatumika.
mzimu ukvuka barabara una angalia kulia nakushoto,jambaz anavaa miwani tinted,polic akkmbza mwiz anavua via2.ndo wa bongo muvi hao
Kwa wale wa "Romantic Movies"...
1. Barefoot [2014]
2. Endless Love [2014]
3. About Last Night [2014]
4. That Awkward Moment [2014]
5. Romeo & Juliet [2013]
6. The Great Gatsby [2013]
7. Im In Love With A Church Girl [2013]
8. Peeples [2013]
9. Love & Honor [2013]
10. Beautiful Creatures [2013]
11. Temptation [2013]
12. The Coaliation [2013]
13. The Host [2013]
14. Safe Haven [2013]
15. Warm Bodies [2013]
Air Marshal (askali usalama ndani ya ndege kubwa za abiria) bwana Bill Marks, anajikuta katika wakati mgumu wa kujaribu kuokoa maisha ya watu zaidi ya 300 ndani ya dege kubwa lililo angani kutoka New york kwenda London.
Ipo hivi, Bill akiwa ametulia baada ya kutoka choo cha ndege kuvuta sigara mara anapokea msg kwenye simu yake ya kazi inayosomeka "uko tayari kufanya kazi yako" anashtuka sana hasa kwa sababu hajui msg imetoka kwa nani , pili simu yake ni aina fulani ya simu maalumu kwa watu maalumu kutumika kwenye ndege, kwani ndege nyingi haziruhusu matumizi ya simu kabisa kwa abiria ndege ikiwa angani, sasa huyu mtu ni nani? Bill anamjibu kwa message we ni nani?
Message inaingia tena kwa bill ikisema"" mimi ni mmoja wa abiria wako humu""
bill anazungusha macho kwenye ndege kisha anajibu " kutumia mtandao huu ni kosa la jinai" msg inamjibu ""kuvuta pia sigara kwenye ndege ni kosa la jinai""
tena msg zinazidi kuingia moja ikisema " weka saa yako ipige alarm kila baada ya dakika 20," bill kajibu " kwa nini?"
message ikamjibu " kwa sababu kila baada ya dakika 20 humu ndani nitaua abiria mmoja"
Bill kamuuliza unataka nini, message ikamjibu " nataka 150 million doller" na ziwekwe kwenye akaunti namba hii( akataja akaunti namba)
Bill kuzituma zile account namba na kufanya comfirmation ikagundulika akaunti ina jina lake yeye Bill Marks, hapo sasa serikali ikamgeuka kuwa yeye ndiyo terrorist, na kweli kila baada ya dk20 mtu mmoja alikua anakufa, je ni nani huyu anayeua? na kwa nini akaunti namba ina jina la bill je anahusika? je watalipwa hizo million doller 150
ukitaka kuyajua haya tafuta hii movie NON - STOP(2014) stering Liam Neeson, ni bonge la movie wadau, nawashukuru wote walionishawishi niitafute kazi kwenu ambao bado
Kwa wale wa "Romantic Movies"...
1. Barefoot [2014]
2. Endless Love [2014]
3. About Last Night [2014]
4. That Awkward Moment [2014]
5. Romeo & Juliet [2013]
6. The Great Gatsby [2013]
7. Im In Love With A Church Girl [2013]
8. Peeples [2013]
9. Love & Honor [2013]
10. Beautiful Creatures [2013]
11. Temptation [2013]
12. The Coaliation [2013]
13. The Host [2013]
14. Safe Haven [2013]
15. Warm Bodies [2013]
Kaka weka link basi tu download
Mimi pia niliiangalia hii ndani BM basi kutokea Moro, nilitokea kuipenda japo waigizaji siwajui majina kwa sababu si mpenzi sana wa bongo movie.mimi si mpenz wa bongo movie...bt niliambiwa kuna movie inaitwa Bado Natafut ni nzur niiangalie nitaipenda...kwel nilipoangalia ilinitoa choz...jamaa Gaboz anajua mnoooo kuact...yaan naomba kwa ambaye hajaiangalia aitafte then ataleta feedback hapa...shamsa pia i salute u madam...