Vodacom Wajanja Night sio unlimited tena

Vodacom Wajanja Night sio unlimited tena

Jamani hii kweli tatizo la inchi. Internet ndio major communicatio btw people, companies na ulimwengu kwa ujumla. Kama internet inakuwa ghali basi jua wanatulimit hata maendeleo. 100mb kitu gani!!

Sent from my Samsung Note III using Tapatalk
 
Jamani hii kweli tatizo la inchi. Internet ndio major communicatio btw people, companies na ulimwengu kwa ujumla. Kama internet inakuwa ghali basi jua wanatulimit hata maendeleo. 100mb kitu gani!!

Sent from my Samsung Note III using Tapatalk

Ila hata nchi za wenzetu hawatumii hizi mobile data. Hizi ni za vitu kidogo tu. Kama upo serious na unataka internet ya kibiashara kuna ttcl na isp wengine
 
Sio free afu pia vpn bado inafanya kazi maana wamezuia baadh ya vitu

kwani si wi-fi za chuo si ziko unsecured?

Lkn bado kama unasoma chuo chenye madogo wauni wauni hizi public wi-fi chezea mbali kabisa
 
Heheheheh ndoa na voda nimevunja rasmi jana hiyo hiyo sa hivi nimehamia tigo baada ya kucheza na net yako kwa siku tatu mfululizo package za siku ni safi sana maana nashusha mzigo kama kawa tena the all day karibuni bus hili kwa sasa ndo mkombozi
 
Voda wanasumbua siku hiziiiiiiiiiiiii, yaan hadi nachoka leo wamenikatia mawasiliano voda-voda cm hazitoki ila ukipiga kwenda mitandao mingine inakubali. Sina ham na voda kabisaaaaa
 
Majanga.... nilikuwaa nambwela mbwela kumalizia kushusha series sasa wamebana
 
halafu tunajitapa eti tuna mkonga wa taifa, wakati internet sasa hivi imeanza kuwa basic need na wanatuletea ujinga.
 
Yani ni bora wangeongeza makato kidogo, coz watu wengi wanajiunga na "wajanja night offer", kwasababu ya; Kasi ya mtandao na zaidi ni Bando (kuwa UNLIMITED)

#Vodacom , fanyeni research, wateja wenu wengi mtatupoteza (wengine tuna line za voda, only for internet hasa iyo "wanjanja night...!)
 
Sio tetesi, ndo habari yenyewe. Hii ndoa ilianza kuyumba 2 months ago. Huo ndio mwisho wake. Kilichobaki ni kufunga ndoa na maWIFI, mshenga atakuwa kali_linux. Tafanyaje sasa !!
 
Mm yaani sijui maeneo ninako ishi MABUNDI ni wengi yaani mm huwa nikijaribu kununua lets say kwenye simu yangu naishiaga kujuta kabisa
Yaani hata kufungua paage no....page zinaweza zianze kufunguka saa sita kudownload ndo majanga kabisa mpakahuwa sielewi kwa kweli....Hivo hiii safari nilisema BYE BYE
mzee wa pd proxy na wewe umehamia huku basi noma
 
Unaharibu bhana. Futa hii kitu fasta....

Kwani kutumia vpn ni dhambi? Au hujui maana ya vpn? Vpn anaeza tumia mtu yoyote kwa ajili ya ku unblock websites zilizofungiwa eneo flani au kuhife location yake kama anataka privacy mimi natumia VPN kwa ajili ya kublock restrictions ambazo zimewekwa kwenye wifi ya chuo
 
mzee wa pd proxy na wewe umehamia huku basi noma

Hahaha!mm hii nilinunua kwenye simu nilitaka pakua apps nyingi lkn nilijuta kabisa na hii imenitokea mara mbili wanalamba 500/- ila nasema sio issue tutakutana kwenye pc ambako nawanyonya mpaka 2MB/s ktk downloading speed
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom