Nami nikwambie pole zaidi ya wengine. ww kweli ni msomi jasiri. ulichokosea ni kufanya mapenzi nje ya ndoa na inawezekana huyo mwenza wko hukumfanyia uchunguzi kwa kina juu ya tabia yake.
Lakini yote hayo tuckulaumu xana kwani kila mtu anaweza kuchelea kma hivyo. bado nafac ya kuwa na mwenza...
jamani ujio wa obama una ajenda miongoni mwa zifuatazo:
1. gesi ya mtwara (ambayo karibu wnanchi wnawania ibak mtwara au dar)
2. ushoga (wapenzi wa jinsia moja wapewe baraka kikatiba) laana ya ALLAH kwa kitendo hichi.
3. hili la gesi ni mambo ambayo tumeshayazoea kuwa rasilimali zetu kumilikiwa...
Jamaa kaongea
ww kama unatoka shinyanga umesoma dar usilazimishe kubaki dar tu. nenda kafundishe ulikopangiwa, huko ndiko kuna tatizo kubwa. Inakuwaje tena kuleta siasa ndani ya suala la msingi?
OKOA TAIFA LAKO
KATAA MUUNGANO
Watu wengine bhana! mambo madogo kma haya mnayaleta jamii, ss kwenye research umefanya nn ww? Mi nahic unataka tukuambie umruhusu jamaa atumie chance amwahi shemeji kabla hajarudi au? Sio wote ni thinker; Mi nahisi una njia nyingi z kumkomesha asikufuate, tuliza akili kma ww n thinker w ukweli...
Pole dd. unapaswa ulie kuwa na moyo dhaifu kma huo.................. mtenda hutendwa (Action always are revised). And for case like this we we say .......... women.... chicken:playball:
Nipo tayari kuibeba aibu ya kuvunja uchumba na ndoa iliyopangwa ila sijui nitamwambiaje ticha maana mpaka...
Maasha ALLAH. Mwaka mpya niliusubiri kwa kusikiliza maneno matam kuliko chochote (QUR AN). Huku nikiwashangaa wanao weka ghasia mitaani na kuukaribisha kwa maneno ya iblisi la i'n. (muziki/nyimbo).
Hivi niwangapi tulojihesabu tumefanya wema gani kwa ALLAH, na tumeasi kiasi gani? na tumejipanga...
Maasha ALLAH. Mwaka mpya niliusubiri kwa kusikiliza maneno matam kuliko chochote (QUR AN). Huku nikiwashangaa wanao weka ghasia mitaani na kuukaribisha kwa maneno ya iblisi la i'n. (muziki/nyimbo).
Hivi niwangapi tulojihesabu tumefanya wema gani kwa ALLAH, na tumeasi kiasi gani? na tumejipanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.