Nenda siku moja pale nyumbani na hakikisha wapo wote, huyo mwanamke na mumewe!! Lakini kabla hujafika, tegesha alarm kwenye simu yako....lakini iwe na mlio kama kuna mtu anakupigia! Make sure alarm inalia in fifth minute.
Ukishafika pale, jifanye uko so distracted na kila mara uwe unajisonya sonya! Kila mmoja hapo atakuwa anakuuliza kulikoni....lakini we jifanye unajisonyasonya tu!
Ukiona it's only a minute to go, anza maongezi haya lakini ukiwa bado ditractted:
"Unajua kaka, hii dunia ya leo kwa kweli imeisha! Yaani usiamini mtu kabisa!! Yaani uaminifu hakuna kabisa kwenye ndoa za watu! Yaani kaka, huwezi amini....hivi una haba.....!" Yaani make sure wakati unafikia hiyo sehemu, alarm iite! Na ikishafanya hivyo, inuka na jifanye unapokea simu!! Piga stori za uongo na kweli za kwenye simu kisha waage wenyeji na ahidi kwamba lazima utarudi kumalizia stori ambayo uliianzisha kuhusu namna gani watu wasivyo waaminifu!!
I am sure, ukifanya hivyo, huyo shemeji yako hapo utamwaacha katika wakati mgumu ile mbaya kwavile atahisi ulitaka kumsemea!! Na hakika, ni huyu shemeji yako ndie atakuwa wa kwanza kukupigia kutaka kufahamu ulitaka kusema nini! Hapo mwambie kwamba ulitaka kumwambia mshikaji kuhusu tabia zake! hapo atakuomba misamaha elfu moja kidogo na hatarudia tena!
Arrghh!! Nimepoteza muda wote kueleza yote haya wakati maelezo yako yanaonesha wazi unataka kuhalalishiwa hapa JF!