Geuka kuwa mzaramo for a while ili unusuru ndoa yako namanisha mchambe,mtukane,foka fanya kila aina ya maudhi kwa huyo mshezi ili mmeo akirudi akukute ukiwa tuli kama alivyokuacha maana haya madubwana yanatupunguzia uaminifu kwa wame zetu.Shenzy type
thats trueYes, The Boss. This is great thinking!! Ni lazima tusome katikati ya mistari. Mleta mada hajatuambiwa hata kuuthiwa na message za jamaa. Anachoeleza ni jinsi anavoambiwa anampendwa na taarifa yake kwa jamaa kuwa ameolewa na aana watoto.
Hii mume kusafiri ni kutaka kutuonesha ana nafasi ya kufanya anachofikiria lakini anataka kujua ni lipi watu watamchagulia. Nina hakika hatawasikiliza wale wanaopinga mpango wake. Mama ya watoto anagegedwa hivi hiviiiii!!!
sikujua hilo, ahsante.Si um-block tu, sms na simu zake zisiingie kwako.. hilo nalo nila kuomba ushauri kumbuka wewe ni mama
Habari zenu ndugu zangu.
Wapendwa jambo hili limenifanya nikose raha cku ya leo (8.3.2013).
Majira ya saa saba mchana nilimpigia supervisor wangu simu kujua yuko wapi ili nimpatie kazi yangu ya research. cm ilipokelewa na mtu ambae ckumjua nikashangaa nikamsalimia baada ya salamu nikamuuliza wewe ni Dr.....akasema hapana, nikamjibu wrong number nikakata! nikacheki namba niliyopiga ni kweli ya dr! nikacall tena akapokea dr akanambia anakuja nimsubiri.
Loh wandugu, baada ya kama nusu saa hv nikaanza kupata message za mapenzi kutoka kwa yule mtu niliekosea namba akinitaja jina langu na kusema ananipenda, mara mungu katukutanisha, mara tuonane..n.k Nimemjibu mm mke wa mtu pia nina watoto, jamaa hasikii ananipigia cm mfululizo. Kwa sasa mume wangu kasafiri, naombeni msaada wa mawazo nifanyaje?
Nimesoma vizuri maelezo yako, naona kama kwa nyakati zote mbili ulipiga namba moja.
Awamu ya kwanza akapokea mtu ambaye hukumtambua, na hata baada ya kumuuliza akajibu kwamba sio Dr....
Baada ya hilo umesema ukaicheck namba hiyo lakini ilikuwa ni ya Dr...
Awamu ya pili, ulipopiga tena mara hii Dr alipokea simu.
Sasa basi, kama ulipiga namba moja kwa nyakati tofauti, kwa nini usianze kwa kumuuliza huyo Dr, je ni nani aliyepokea simu katika muito wa awali??
Pili ukijaribu kurejelea "call logs" za siku na muda unaodhani ulikosea kupiga simu, je hiyo namba inayokupigia sasa ndio hiyo unayodhani uliipiga kimakosa??
Mtumie mumeo namba ya huyo jamaa ili ampigie lkn ukimeza basi mwisho ni kuvimba na kuihujumu ndoa yako
Tukusaidie nini?????issue ndogo kama hiyo kuhandle inakushinda???????????[/
QUOTE]
kwenye wengi pana mengi. Nimepata ushauri hapa ambao hata ckuwaza kabsaaa.
Watu wengine bhana! mambo madogo kma haya mnayaleta jamii, ss kwenye research umefanya nn ww? Mi nahic unataka tukuambie umruhusu jamaa atumie chance amwahi shemeji kabla hajarudi au? Sio wote ni thinker; Mi nahisi una njia nyingi z kumkomesha asikufuate, tuliza akili kma ww n thinker w ukweli, hatokusumbua. Umtumie ujmbe ili akuelewe msimamo wko na sio umpe ishara kama nusu uko ndani nusu nje, atakuganda tu.
Hapo sikushauri tena maana hawa jamaa zetu wanaanzia ga dau la 50,000/= kuendelea hadi 1m kutokana na umbile lakosio dr. alipoanza kunicall na kutuma sms nikagundua namba ni tofauti na ya dr. Pia anaogea kama mtu wa unguja au pemba vile.
Yani watu wengine bwana haya mkubali inaonekana kumwambia humtaki huwezi nalo hili la kuliza humu we ni mtu mzima kweli ushindwe kumkataa unazingua tu sasa unataka ushauriwe nini kwani yeye anakutongoza kupitia jf, si anakuandikia kwa simu yako iweje ulize humu peleka kule unatuchosha uliza mambo ya msingi haya hayatuhusu yanakuhusu wewe na anayekutongoza upo mwanadada j,pili,njema.
Habari zenu ndugu zangu.
Wapendwa jambo hili limenifanya nikose raha cku ya leo (8.3.2013).
Majira ya saa saba mchana nilimpigia supervisor wangu simu kujua yuko wapi ili nimpatie kazi yangu ya research. cm ilipokelewa na mtu ambae ckumjua nikashangaa nikamsalimia baada ya salamu nikamuuliza wewe ni Dr.....akasema hapana, nikamjibu wrong number nikakata! nikacheki namba niliyopiga ni kweli ya dr! nikacall tena akapokea dr akanambia anakuja nimsubiri.
Loh wandugu, baada ya kama nusu saa hv nikaanza kupata message za mapenzi kutoka kwa yule mtu niliekosea namba akinitaja jina langu na kusema ananipenda, mara mungu katukutanisha, mara tuonane..n.k Nimemjibu mm mke wa mtu pia nina watoto, jamaa hasikii ananipigia cm mfululizo. Kwa sasa mume wangu kasafiri, naombeni msaada wa mawazo nifanyaje?
umesema kwa sasa mumeo kasafiri?
meaning? kuna vacuum sio?
Pengine ulilegezxa na sauti kwenye simu makusudi..