Recent content by kassim kimoby

  1. kassim kimoby

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Msaada naitaji cove la cm Vivo s15.
  2. kassim kimoby

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    hometheatre ya home base yake imekuwa ndgo gafla yani shida nini??
  3. kassim kimoby

    JamiiForums Tanzania Marekani na Iran zimeripotiwa kufikia makubaliano ya kihistoria

    Kwa masharti sio kama alivyo kawa anatk ueye kwa mabavu.
  4. kassim kimoby

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Mfano cover la cm aina ya vivo S15...
  5. kassim kimoby

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Msaada naomba kuelekezwa jinsi ya kununua bizaa kwenye app ya alibaba.🙏🏻🙏🏻🙏
  6. kassim kimoby

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arteta kuondoka arsenal sio rahis kama ww unavyo fikilia
  7. kassim kimoby

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hivi arteta anafeli wap sasa hv kweny hiz game kuondoka na point3
  8. kassim kimoby

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Uganda: Mbona hatuoni Waganda wakichoma, kuharibu miundo mbinu na kuiba mali za watu baada ya matokeo?

    Lakin wameenda kwa mgombea urais wame mvamia kumakatia umee kisha kumteka hiiii c sawa
  9. kassim kimoby

    JamiiForums Tanzania Mimi mgeni naombeni mnipokee

    Umekuja na nini mgeni??
  10. kassim kimoby

    JamiiForums Tanzania Ina maana mifumo ya Urusi haizukiziona ndege za US zikija kumdaka Maduro?

    Hoja yako inamashiko mkuu
  11. kassim kimoby

    JamiiForums Tanzania FT: Morocco 1-0 Tanzania | AFCON 2025 | 16 Round | Prince Moulay Stadium, Rabat | 04 January 2026| Saa 1:00 Usiku

    Team inacheza vzur mpaka laha kuiangalia.
  12. kassim kimoby

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu achangiwa milioni 17 ndani ya masaa 24

    Ndo tulipo fikia huku?
  13. kassim kimoby

    JamiiForums Tanzania US ameanza uharamia. Amevamia, ameteka meli ya mafuta huko Venezuela.

    Sasa hapa ndo nime hielewa hii taarifa.Kuliko FB ilikuwa na ukakasi
  14. kassim kimoby

    JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima: Sakata la Mabinti wa Chuo Kikuu kupigana kisa mume wa mtu, Mwijaku kuhojiwa

    Yote yanatokana na umaharufu alio kuwa nao mana kufanya hiko ki2 yeye sio wa kwanza ukiangalia ana ela halafu ni rijali uwez kuziacha pisi.Mm najua mwijaku ana hakir timamu na kama alikuwa anafanya kwa siri ila hao wanafnywa huamua kusambaza vdeo kwa leng wengin kupata umaarufu n.k
Back
Top Bottom