msukule mzembe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 295
- 371
Pamoja sana kaka
Anaogopa hiyo ID yako ha ha ha haPamoja sana unae kaka
Umekuja na nini mgeni??Habari za wakati huu wana JF, natumai mu wazima wa Afya. Mimi ni mgeni humu nimejiunga mwaka huu. Kuna vitu vingi nilikuwa sivijui nashukuru kwasasa kiasi naelewa.
Napenda kushukuru kwa uongozi wote wa JF pamoja na members wote kwa ujumla kwani kila siku navyopitia baadhi ya thread za watu nazidi kujifunza mambo mengi. Asanteni tuendelee kuwa pamoja.