Recent content by kasoldier

  1. K

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Shunie!!!!!!!

    Where z she
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania Kuwekewa vikwazo vya kiuchumi

    Huu wema uchwara
  3. K

    JamiiForums Tanzania JKT 2018 updates

    Achana na wapuuz future yako anaijua MUNGU kaka
  4. K

    JamiiForums Tanzania TANAPA wametuma taarifa za usahili, angalieni email zenu

    Mi hua nabak kushangaa sioni email lakn ukfanya ufukunyuku unakuja ona kumbe walikuita haukuhudhuria inter view
  5. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira

    Ni kijana mwenye umri wa miaka 26,nna elimu ya diploma ya procurement and supply chain management,npo tayar kufanya kaz yoyote mahali popote chamsingi ni mshahara wangu tu,kwa sasa napatkana dar es salaam 0786302028 nitafuten wadau
  6. K

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Wanaoweka matangazo ya kutafuta Kazi

    Anaeweza kutoa msaada hayo n maongez mengine sasa,lazima uoneshe nia ili nami nmwagike
  7. K

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Wanaoweka matangazo ya kutafuta Kazi

    Npo kuwa yeyote hapo kasoro dereva tu,elimu yangu n advanced diploma chamsingi mshahara tu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnayotufanyia wake za watu kwenye Daladala Mungu anawaona

    Ha ha ha ha imenchekesha sana
  9. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Lowassa, Homa ya CCM

    Mtoa post una akili sana,ijapokua kuna vivuruge humu ndan,tunaelekea tz tunayoitaka sisi na c wao
  10. K

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

    Mmh hapa yahtajka kutuliza bongo ila naanza kupata picha
  11. K

    JamiiForums Tanzania Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    Lowassa ana sifa na vigezo vyote,muache ushabik Na akili za kushikiwa,kuhusu Richmond nan axyejua tumeingia hasara kwa ushabik wa vitu tuxvyovijua,afya ni nan amewah enda nae kupima,kajpme wewe ndpo umfuate yeye,chukua pcha alvyokua wazir mkuu,ulkondesha kwa kukutumikia Leo kapendeza...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    Lowassa ana sifa na vigezo vyote,muache ushabik Na akili za kushikiwa,kuhusu Richmond nan axyejua tumeingia hasara kwa ushabik wa vitu tuxvyovijua,afya ni nan amewah enda nae kupima,kajpme wewe ndpo umfuate yeye,chukua pcha alvyokua wazir mkuu,ulkondesha kwa kukutumikia Leo kapendeza...
  13. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Lowassa ni kiongozi mwenye kuthubutu

    Upendo wake kwa tz Leo unamfanya watu wachache waxiojua nin wanamaansha au wanajua wanachokfanya kwa maslah yenu binafs,tz Hui ya sasa nan afaa kukuongoza wewe kiumbe kama c LOWASSA kama unataka tz yako ifie mikonon mwako ucmpende Huyu mzee
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mangula alishukia genge la Lowassa lililomwaga rushwa Zanzibar, Hatua kali kuchukuliwa

    Hakuna kama LOWASSA tz hii,akili za kuambiwa changanya na zako,
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Lowassa hana washauri? Naona anapoteza muda na fedha zake bure!

    Watu bana,akili za kuambiwa changanya na zako,wa tz kwa ujumla tuliingia hasara kwa kushabikia mambo tucyoyajua Leo kidogo kwenye escrow tupo makn,LOWASSA angalibak madarakan had Leo hii tungalikua level nyingine kabisa
Back
Top Bottom