CHADEMA: Lowassa ni kiongozi mwenye kuthubutu

CHADEMA: Lowassa ni kiongozi mwenye kuthubutu

lowasa dume la shoka,ukweli utadhihiri tu,Lowasa AKUNAGA!
 
lowasa ni mwanasiasa aliye komaa. Hapa hakunaubishi. Deal kila mtu anapiga kwanafasi yake kama alivyo fanya yeye . Maana nyumbani kwa mwalimu unaweza ona chaki jiulize kazitoa wapi?
 
Nalo hilo neno!!

Ni kweli; Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
Kwakile ambacho lowasa anakifanya katika harambee mbalimbali pamoja na mikutano ambayo ni ya kumjenga yeye zaidi kuliko chama chake angekuwa yupo Chadema angetafutiwa zengwe mpaka atimuliwe kwa tuhuma za kuhujumu na kufanya uhaini katika chama chake.
NAWASILISHA
 
Bahili alinunua Mbuzi akamwambia Mpishi. "Nyama nusu ipike pilau na nyingine itie kwenye friji,kichwa fanya supu na miguu fanya mchuzi wa chukuchuku,ngozi usitupe tutafanya mkeka,utumbo pika na ndizi,mifupa tutawauzia wenye mbwa,kinyesi weka kwa ajili ya mbolea ya bustani"...Mpishi akamuuliza "hutaki na sauti yake ufanye ringtone kwenye simu yako"?? x-mas njema.
 
Sio angefukuzwa tu huyu jamaa ujambazi alioufanya ilibidi awe jela leo hii na kufilisiwa kabisa kwa kuhijumu nchi but Thanks to CCM yuko mtaani anaduda. CCM waliliona hilo lakini hawakuwa na ujasiri wa kupambana naye badala yake m-kiti wa taifa akakimbia akawaachia wakina nape wa deal naye, It is insane
 
Bahili alinunua Mbuzi akamwambia Mpishi. "Nyama nusu ipike pilau na nyingine itie kwenye friji,kichwa fanya supu na miguu fanya mchuzi wa chukuchuku,ngozi usitupe tutafanya mkeka,utumbo pika na ndizi,mifupa tutawauzia wenye mbwa,kinyesi weka kwa ajili ya mbolea ya bustani"...Mpishi akamuuliza "hutaki na sauti yake ufanye ringtone kwenye simu yako"?? x-mas njema.

Hadithi yako yatufundisha nini?
 
Kwa kipindi alichokuwa waziri hadi kuwa waziri mkuu alionyesha uwezo mkubwa sana kiuongozi . Kati ya mambo yanayomfanya Lowasa kuwa kiongozi wa kipekee ni jinsi anavyoweza kuthubutu kuchukua maamuzi magumu sana lakini yenye Tija kwa walio wengi. Mfano:-
1. Shule za kata zimesaidia wengi hasa maskini
2. Mradi wa maji kutoka lake Victoria kwenda shy na kahama.

Kiongozi huyu alithubutu kwenda kujenga hoja na misri ambao wana VETO juu ya matumizi ya maji ya ziwa Victoria na hatimae hoja yake ilieleweka na mradi ukafanyika. ingawa kuna waliomkatisha tamaa lakini Aliamua kuchukua maamuzi magumu.

Kasi ya Lowasa ilikuwa ni SUPERSONIC lakini ilikatika ghafla baada ya tuhuma ya RICHMUND ambayo ilisababisha ajiuzulu.

Kukubali kwake kuwajibika kunazidi kudhihirisha kuwa huyu ni kiongozi wa aina yake kwani kwa nafasi aliyokuwa nayo angeweza hata kung,'ang'ania kama hawa tunaowaona kipindi hiki cha Tegeta Escrow.

Ninachoamini ni kwamba huyu bwana angekuwa bado ni waziri mkuu basi kuna mengi yangekuwa yamefanyika yenye faida kwa nchi hii na wananchi.

Mbali na sifa hizo lakini pia lowasa ana tabia hizi:-
1. Hana blaablaa nyingi/ ni mtu wa vitendo zaidi
2. Haogopi kuchukua hatua
3. haogopi kufanya maamuzi magumu-hata kuamua kujiuzulu ilikuwa ni maamuzi magumu kwani haikutumika nguvu kubwa kumshinikiza. Hata mradi wa maji lake Victoria ilikuwa ni maamuzi magumu sana.
4. Ana huruma kwa watu hasa wanyonge
5. Sio mbaguzi.
6. Ni mcha mungu na ana hofu ya Mungu.

Nina imani hata Mungu anamuongoza na kumlinda kwasababu kila wanaojaribu kumchafua au kumfitini yeye ndio anazidi kuchanua sana ambapo wanaomchukia ndio wanafifia kama kiiza.

Tanzania inahitaji kiongozi wa Aina hii.

May God Bless and guide Him
 
Ufirauni wake wa Richmond unausafisha na magadi ya wapi?

Mbona hataki kusema asili ya utajiri wake kama ni mtu safi?

Watafute wendawazimu ukawaambie hizi hadithi. Honestly we dont need your cheap propaganda here. Naomba utuache tuna masuala makubwa na ya maana ya kujadili badala ya kutuletea jizi, fisadi liabudu rushwa lingine hapa. Bado tunahangaika na madonda ya li kikwete. unaleta lingine tena. Tafadhili. mtafutieni kakoloni kengine labda komoro.

Noamba tena uishie kabla sijabadilisha lugha.
 
Unapomchukia mtu mwenye haki mbele za Mungu basi ujue ni hasara kwako maana mungu atazidi kumuinua ili ufadhaike zaidi.

Hivi akiwa rais utajiua au utahama nchi. ACHA CHUKI NA WIVU
 
Mungu gani unayemsema? Kwa nini huongelei habari za richmond? Ninyin wenye mizani ya hila ndiyo manabii vipofu kama waliomtabiria Ahabu akaendakufa. Mnaleta laana juu ya uso wa nchi. Kwa nini hujibu hoja kwamba lowasa ni fisadi, mpenda rushwa na hana uzalendo unakimbilia kutaja miungu yako? Sasa utaona miungu yako inayoasisiwa na rushwa ufisadi, uwongo na wizi wa lowasa kwamba ni miungu mifu!.

Aisee kaa mbali nami, Sisemi na watu vipofu wa rohoni na vichwa hoho kama wewe.

Unapomchukia mtu mwenye haki mbele za Mungu basi ujue ni hasara kwako maana mungu atazidi kumuinua ili ufadhaike zaidi.

Hivi akiwa rais utajiua au utahama nchi. ACHA CHUKI NA WIVU
 
Lowasa ni mwizi kaa wezi wengine waliojazana kwenye genge lao la majambazi lililojificha lumumba.mtu msafi hawezi kukaa ccm!
 
Upendo wake kwa tz Leo unamfanya watu wachache waxiojua nin wanamaansha au wanajua wanachokfanya kwa maslah yenu binafs,tz Hui ya sasa nan afaa kukuongoza wewe kiumbe kama c LOWASSA kama unataka tz yako ifie mikonon mwako ucmpende Huyu mzee
 
Hata sisi Askofu alikwama baada ya kutanguliza ubinafsi zaidi, Mh. Lowassa akamkatalia, aliombwa na Waislam na Wakristo wa eneo moja...akawaambia wafuate taratibu za mamlaka zao za kiuongozi na kwamba yuko tayari kuwaomba wapenda maendeleo wenzake wamsaidie isipokuwa jambo hili liwe na baraka za mamlaka zenu na ifanyike moja na kitakachopatikana kigawiwe sawa kwa Muslims na Christians.....Loooh Askofu akaleta mizengwe mingiiiii....sisi tulioarifiwa kuna tukio hilo tukahoji mbona kimya.....baadae tukaarifiwa juu ya urasimu wa askofu husika.

Nilimtolea uvivu Bishop yule japo kwa sms......
 
Back
Top Bottom