Goodluck Mshana
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,272
- 1,128
Umeitendea haki surname yangu... Thank Jr
Lowassa kwani amepona?,nasikia yu mgonjwa huyu mamvi?...
Lowasa yupi unazungumzia huyu fisadi au mwingine.
Ameparalise upande mmoja wa jicho lake...ni kipofu wa jicho moja!
Lowassa huyu huyu fisadi, Hebu kuweni serious jamani!
Lowasa yupi unazungumzia huyu fisadi au mwingine.
mshana jr umenena kwa lugha iliyo bora, kuna kila dalili ya serikali ya mseto Edo& Ukawa
mshana jr umenena kwa lugha iliyo bora, kuna kila dalili ya serikali ya mseto Edo& Ukawa
Muulizeni mwakyembe yule aliyemficha/ kutomtaja kwenye ripot yake ni nani?