Recent content by Kasimpya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hata angekuwepo,CHADEMA ingeshindwa pale Kalenga!

    mwambien slaa akagombeee chalinze muone hiyo aibu kama kweli chadema ni chama/?:nod:
  2. K

    JamiiForums Tanzania jamani ushauri wa muhimu!

    Tafuta mwanamke wa imani yako ndipo hapo baadaye mtakuwa na maisha ya upendo (angalau kidogo) hata baada ya kuwa pamoja kama mume na mke kwa muda mrefu na kupata watoto. La sivyo penzi lenu na huyo binti ni la muda tu.Usifikirie kuwa mkioana mtapendana kama ilivyo sasa hivi, penzi (upendo)...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Walimu waiva; watoa notisi ya masaa 48

    Tumia akili kidogo Rich Dad, kama siyo walimu wewe ungekuwa hapo ulipo? Kwa taarifa yako walimu wana akili nyingi kuliko za kwako ndiyo maana wakakufikisha hapo ulipo!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna tofauti gani tukiwa na baraza la mawaziri na lisipokuwapo?

    Mawaziri ni muhimu kuwepo kwa sababu ya kutekeleza sera za chama kinachotawala. Cha maana ni mawaziri hao kuwa wachapakazi na waaminifu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

    Hili ni fundisho kwa Wanasiasa wanaotumia fedha zao kuwarubuni wapiga kura!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Maumivu makal wakat wa kutoa shahawa! Msaada

    Nenda kamwone daktari
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wanajamvi hiki chama makini ni kama odm ya nchini kenya!!!!

    Serikali ya majimbo ni nzuri kwani kila jimbo litakuwa na maendeleo kwa kutumia rasilimali llilizonazo. Vile vile viongozi wa majimbo watawajibika kwa wananchi kwani watakuwa wanachaguliwa na wananchi, hivyo kuwa na maendeleo ya nchi kwa ujumla.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    Wana JF, nina msichana ambaye huwa anapata maumivu makali sana akiwa kwenye siku zake (akiwa kwenye hedhi). Huwa anatapika sana na maumivu ya tumbo huwa ni makali sana. Nimekuwa nikimpeleka hospitali na huwa wanamchoma sindano ya kutuliza maumivu hayo na hupewa vidonge. Lakini kila mwezi, akiwa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania CCM tusilaumiane

    Ninakubaliana na mawazo yako. Ninakushauri utafute website ya ccm halafu upost hayo mawazo kule. Yanaweza yakawafikia wakubwa wa chama haraka na labda wanaweza kuyafanyia kazi.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Serikali iachane na chaguzi ndogo - Mtatiro

    Wazo la kumchukua mtu wa pili aliyefuatia kwenye uchaguzi bila kujali chama linaonekana kuwa ni rahisi kwa kuliangalia kinadharia. Lakini ukija kwenye utekelezaji kuna matatizo makubwa sana: kwanza tujue kwamba mtu wa pili lazima atakuwa wa chama tofauti na mbunge aliyekuwa akitumikia jimbo...
  11. K

    JamiiForums Tanzania wanaume wenzangu someni mbadilike!

    siku hizi akina mama wanaweza hata bila kuwezeshwa.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Samuel Sitta na Mwakyembe yapata pigo kubwa!!!!

    Cha maana ni CCM kuacha kukumbatia mafisadi
  13. K

    JamiiForums Tanzania Lusinde na kampeni za matusi umeambulia aibu kubwa

    Wamevuna walichopanda
  14. K

    JamiiForums Tanzania Anguko la ccm arumeru mashariki ni fundisho kwa wanasiasa

    Wanajamiiforums, baada ya matokeo ya uchaguzi wa jimbo la Arumeru Mashariki kutangazwa na mgombea wa CDM Joshua Nasari kuibuka mshindi, mimi nina mawazo yafuatayo: Wananchi sasa hivi wameanza kujua haki zao na kwamba wameanza kukataa kudanganywa na wanasiasa; Wanasiasa wanatakiwa kutimiza ahadi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hodi jamvini

    Halo wana JamiiForums nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi humu jamvini kwa muda mrefu na kufurahishwa mijadala inavyokwenda japo sikuwa memba. Kwa sasa imeamua kujiunga na jamvi hili ili na mimi niweze kutoa mchango wangu. Ninaomba wanajamvi mnipokee.
Back
Top Bottom