Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 3,978
- 4,743
tunapozingumzia waalimu tunazungumzia daraja la mafanikio kwa kila mtu anyejua maana ya elimu. binafsi sintasahau nilivyo ingia darasa la kwanza na kupata sifuri katika somo la kusoma lakini nikafanya vizuri kwenye hesabu na mwandiko lakini haikuchukua muda mrefu nikajua kusoma vizuri na siwezi kuwasahau walimu wangu wawili waliitwa kabogoyo na zongo. na ikimbukwe wakati huo hakukua shule za awali kijijini.
lakini kwa sasa kwa mafanikio niliyo nayo kwa mchango wao naona ni zaidi ya barabara au njia katika mafanikio ya watu wengi. lakini kada hii imekuwa ni kada ya kudharaulika kwa sababu kuu zifuatazo
waalimu wengi wamekuwa hawajikubali baada ya kukubali kazi ya uwalimu kama option ya mwisho katika kupata kazi
wamemuekea mwajiri wao mazingira ya kumtegemea mno kiais kwamba na yeye haogopi tena.
sasa nini kifanyike
cha kwanza ni wao kujikubali vizuri na kujua bei yao
cha pili ni kujipanga na kuacha kuitegemea serikali kwa ajira na wao waweze kutengeneza mazingira ya kujiajiri( kwa hapa nipo tayari kutoa mchango mzuri wa mawazo yangu ikitokea nikakutana nao japo toka jana naendesha kwawaalimu wachache nianao kutananao ila nahitaji kundi la waalimu kama 100 tuyajenge)
mwisho jamii idhamini na ifundishwe jinzi ya kudhamini mchango wa waalimu na wajitoe kwa mafanikio ya jamii
kugoma hakuta ongeza bei yenu dhamani yenu ni zaidi ya dhahabu kwa jamii( tunaweza kuishi bila dhahabu lakini hatuwezi kuishi tukiwa wajinga)