Recent content by Kashi

  1. Kashi

    RC Mbeya asitisha Posho kwa Watumishi wote wa Halmashauri

    Sngeanzia na posho za watumishi wa ngazi ya Mkoa kwanza.
  2. Kashi

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Vitu vipya vya Shinyanga hivi.
  3. Kashi

    Kama UKIMWI wa 2005 kurudi nyuma ungekuepo sasa, hali ingekua mbaya sana

    Hivi Uganda wanaambukizanaje na mabwawa yote yale?
  4. Kashi

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Chukua min HiFi system hizi za kisasa. Ukipata ile yenye spika 3 (moja ni Sub woofer) nadhani itakufaa.
  5. Kashi

    Ufafanuzi kuhusu Kikokotoo kipya cha Mafao ya 33%

    Ufafanuzi wa mtoa mada naona uko kinyume ha uhalisia. Sasa hivi malipo ya mkupuo uamepungua kuliko kabla ya kikokotoo kipya halafu yeye anadai yameongezeka. Ibakie ileile 50/50
  6. Kashi

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Ni aina gani?. Taja kampuni na toleo tafadhali.
  7. Kashi

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Hapa Master lazima ale mzigo wa Msukule kwa masaa 2 kama Mpemba alivyojifungia nao.
  8. Kashi

    Ofisi ya Taifa ya usalama Serikalini

    Wanaitwa GSO
  9. Kashi

    Wahitimu wa form six masomo ya Sayansi (PCM, PCB, CBG) wana uelewa zaidi kuliko wahitimu wa vyuo waliosomea ualimu

    Kwa hiyo wakiwa huko form 6 wanafundishwa na nani? Jibu kwanza hapa mtoa mada, kisha tuendelee.
  10. Kashi

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Majini ya Mpemba ni vegetarians, yanagonga mbogamboga tu[emoji1787][emoji1787]
  11. Kashi

    Naomba Kujua Kuhusu Mikopo ya Riba nafuu kutoka Hazina.

    Shida ya huo mkopo huwa wanagawana kwanza hapo Halmashauri HQ na mabaki ndio wanapata wachache watakaobahatika. Kuna jamaa namfahamu aliomba milioni 12 lakini akaingiziwa milioni 5 tu, unaweza kutofanikisha malengo yako.
  12. Kashi

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Kunyweni pombe safi kama vile Ballatines, red lebel, black lebel, black & white nk.
  13. Kashi

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Hivi kwenye spika hizi huwa kuna mziki wa maana ama ni makelele tu?
Back
Top Bottom