Sina pingamizi juu ya hilo mkuu TUNDU LISSU NI MTU MAKINI SANA......But fanya mpango wa kulekebisha mahusiano ya Mungu na Chadema akiwemo kamanda Lissu
Kweli nabii hasifiwi kwao.....huku kila kukicha wanamtafutia visingizio lakini huko nje kila mala wanamsifia sana........duh hiii nchi aibu hadi basiiiii
Acha uongo wewe kwanza hoja zako ni hafifu kiasi kwamba hata mtoto wa darasa la 4 atajua tu kuwa wewe ni mwongo.swali..
1.Ulitaka nyerere asome wapi kwa kipindi hicho? kwani kulikuwa na shule zingine ambazo zilikuwa hazina mahusiano na wazungu?
2. Unaposema Nyerere hakuleta UHURU ni uongo kwa...
umenena ukweli japo wapambe kama ulivyosema watakuona ni kijana hatari,lakini bora uonekane hatari kwa ukweli kuliko kuonekana hatari kwa uongo. Hongera sana comredi
Rais asiyeweza kumudu hata misukosuko ndani ya chama chake na kuishia kuzungumza kwa mafumbo atayaweza wapi mambo ya katiba? Yeye mwenyewe anakiri kuwa hawaendi kushindana wakati huo huo anasema msimamo wa CCM ni serkali 2 nini tafsiri yake?
wadanganye ambao hawako mbeya. kwani unayo yasema hapo hayana ukweli kama madai ya kujengwa kwa barabara mbovu hilo ni tatizo tanzania nzima, hata hapa dar kunajengwa barabara mbovu. Na madai ya kuwa mbuzax ni mchapa kazi wapi kawahi kuwatumikia wanambeya? umeamua tu kumpaka matope sugu na wivu...
hauna jipya kwani kuandika hivyo hakuna tatizo kwa wapiga kura wake kama mimi kilio cha watanzania sio uandishi bora bali ni usimamizi mzuri wa utajiri wetu hivyo badala ya kumwambia mbilinyi aeche utoto wambie mafisadi waache kuiba acha ukilaza ww
nimiaka takribani mitatu hawajaajiri watu wa archaeology.
course inatolewa kwenye chuo kikuu cha dar es salaam. pia kuna course nyingine zinazolandana na Archaeology ambao soko lao la Ajira ni moja kwa mfano Heritage management udsm, culture and heritage pia udsm tourism and cultural heritage...
Baada ya kusoma ulichokiandika mapema nikagundua kuwa hauijui historia ya nchi yako na hili ni tatizo kwa watanzania wengi,lakini si kosa lako bali ni kosa la serkali yako kwani haijandika historia sahihi kuhusu nchi yako. Lakini unaweza kuwauliza wazazi wako kuwa wakati wanakulea wewe ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.